Nimepita katika mitandao ya kijamii nilichoshaa ni kuona chama kinachopambana kuchukua dola eti kimejielekeza kufanya vita na propaganda zote kwa mtu mmoja tena msanii na kusahau mikakati yao ya kupambania dola ndio kusema nguvu hii kubwa inatafsiri nini? Je Diamond ndio dola yenyewe? [emoji38][emoji38][emoji38]
Mpaka hapa Diamond ameonyesha ukubwa wake sio mchezo. Cha ajabu BET wenyewe wamempost Diamond
Simba petition iko wapi?
Naweza kusema kwa hali inavyokwenda Diamond afanye yafuatayo:
@ awe makini zaidi kuliko kipindi chochote
@ aongeze ulinzi na awe na mtu wa kufanya tathmini ya hali ya usalama dhidi yake
@ mafans wake waongeze nguvu ya kujibu mashambulizi dhidi ya boss wao
Nawakumbusha katika anga/ulimwengu wa mitandao ya KIJAMII WASANII WANA NGUVU KULIKO MWANASIASA
Nimepita kuwakumbusha [emoji2327][emoji2327][emoji2327]