Beth live interview on DJ sepetu show!!!

Oohh nia to salute izirail ooopsss my heati
I cheeee
613a7b5f4f180c32bb541c7cb441edc7.jpg
 
Hali ya hewa inaonyesha uzi utajaa broken english za kumwaga kiongozi dj mwenyewe

Majina ya dictionary aina zote yatapatikana humu. Kila mmoja atajigeuza mwalimu wa english kukosoa spelling za mwenzie

Comments hazitakuwa nyingi(maana kithungu si lugha ya mchezo mchezo)
Numbi..unapenda mbege nikuagizie chipuku moja?
 
Hali ya hewa inaonyesha uzi utajaa broken english za kumwaga kiongozi dj mwenyewe

Majina ya dictionary aina zote yatapatikana humu. Kila mmoja atajigeuza mwalimu wa english kukosoa spelling za mwenzie

Comments hazitakuwa nyingi(maana kithungu si lugha ya mchezo mchezo)
Kama kawaida natabiri utabiri huu utakua wa ukweli mtupu
 
Back
Top Bottom