Betri inaisha kama radi simu ikifisha 50% kushuka

judy0

Member
Joined
Mar 28, 2021
Posts
43
Reaction score
163
Habari ya mchana!

Nimeshavurugwa na hii simu yangu. Jamani betri linaisha kama mwanga spidi yake! Yani nikiichaji 100%, nikianza kulitumia, pindi likifikisha 50% heeee spidi yake inaongezeka kama kadongo! Yan ukifumba na kufumbua unakuta lina zero na simu imezima. Jamani. Shida ni simu au shida n betri! Simu ata mwaka haijamaliza!πŸ™„
 
njoo dukani kwangu uchukue simu nyingine
 
Kama sio Iphone n samsung S series
 
Ndo faida ya kuijazia chaji pale inapopungua kufikia 50%. Watu wengi wana tabia ya kuijazia sim ikifika aslimia hizo. Alaf nakupa njia nyingine ukitaka utunze betri ya sim yako hakikisha ukiichaji mwisho 85 mpaka 95% tu isigike 100% na jitahidi usiiliaze chaji unles iwe na uwezo wa kusetiwa kupokea chaji mwisho asilimia ngapi kama hii yangu
 
Hii ndo manaa ya 50/50 Sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yako aina gan mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…