judy0
Member
- Mar 28, 2021
- 43
- 163
Habari ya mchana!
Nimeshavurugwa na hii simu yangu. Jamani betri linaisha kama mwanga spidi yake! Yani nikiichaji 100%, nikianza kulitumia, pindi likifikisha 50% heeee spidi yake inaongezeka kama kadongo! Yan ukifumba na kufumbua unakuta lina zero na simu imezima. Jamani. Shida ni simu au shida n betri! Simu ata mwaka haijamaliza!🙄