Betting addiction ni mbaya sana

Betting addiction ni mbaya sana

thebogo055

Member
Joined
Jun 22, 2020
Posts
19
Reaction score
176
Leo nina mood ya kusema jambo kwa wanaopenda kubet wazee wa mikeka. Betting nayo ni uraibu kama uraibu mwingine tu kama wa madawa ya kulevya, pombe, ngono nk.

Ila kwenye betting ndio unakuwa masikini kabisaaaa tena wa gafla tu. Ukiwa addict unaona kila unavyoliwa basi mkeka ujao utakula mbona, timu zinazocheza ni za ushindi tu basi unatia mpunga baada ya dk. 90 unajuta na kesho tena una bet.

Wapo wanaokula vizuri tu wenye bahati zao lakini kuna wengine dah utawaonea huruma. Halafu ubaya wa betting unaeza kuliwa laki, baadaye ukaja kula elfu 20 ukajiona umekuuula kumbe umepoteza 80k hapo nyuma.

Kuna mtu namjua anabet mpaka mashindano ya farasi najiulizaga maswali mengi nakosa majibu.. yani kwenye farasi 20 unabet kujua atashinda yupi?

Kuna watu wanajua kuchezea hela bhana dah. Mtu yupo radhi asile chakula ili akatoe mkeka. Kile kipindi cha covid 19 nchi nyingi dunian michezo ilikuwa imesimama mwanangu alipata tabu sana alikonda kabisa yani.

Vijana tufanye kazi maana kubet mpaka siku ukija kupata pesa ya maaana ujue hapo nyuma ungeamua kufany kitu cha maana basi ungefika hatua fulani.

Mapovu ruksa kwa wazee wa mikeka wazee wa fursa.
 
Kuna watu wamejenga majumba na kuendesha familia zao kwa sababu ya kubeti
Kuna mmoja nilikuwa naye kipindi hicho naishi Kijichi. Kabeti mikeka kadhaa kakabaki kajero akasema haka nibeti kichaa(ngumu kumeza). Asubuhi akakuta ile miwili ya kawaida imechanika. Akakumbuka ule wa kichaa,kuucheki umetiki bhana! Milioni 15!! Kaenda kibandani alipobetia kuucheki kakuta 'you won'.

Wakamwambia sisi hatuna hiyo hela aende Kariakoo.Wahuni wakajaa pale kawapa ahadi kedekede.Alivyoondoka watu wakamsubiri kwa hamu.Hakurudi.

Tukapata taarifa alipitiliza hadi mkoa mwingine kabisa. Baada ya miezi kadhaa nikarudi Dar es salaam nikasikia naye asharudi zamani sema hakai ule mtaa tena.Maisha yake vipi? Nikaambiwa yaleyale tu sema sahivi kulewa sana tu.

Nikaamini hela usiyotafutia jasho haikai!
 
Thread yetu ya betting wame ipeleka wapi awa
 
Leo nina mood ya kusema jambo kwa wanaopenda kubet wazee wa mikeka. Betting nayo ni uraibu kama uraibu mwingine tu kama wa madawa ya kulevya, pombe, ngono nk.

Ila kwenye betting ndio unakuwa masikini kabisaaaa tena wa gafla tu. Ukiwa addict unaona kila unavyoliwa basi mkeka ujao utakula mbona, timu zinazocheza ni za ushindi tu basi unatia mpunga baada ya dk. 90 unajuta na kesho tena una bet.

Wapo wanaokula vizuri tu wenye bahati zao lakini kuna wengine dah utawaonea huruma. Halafu ubaya wa betting unaeza kuliwa laki, baadaye ukaja kula elfu 20 ukajiona umekuuula kumbe umepoteza 80k hapo nyuma.

Kuna mtu namjua anabet mpaka mashindano ya farasi najiulizaga maswali mengi nakosa majibu.. yani kwenye farasi 20 unabet kujua atashinda yupi?

Kuna watu wanajua kuchezea hela bhana dah. Mtu yupo radhi asile chakula ili akatoe mkeka. Kile kipindi cha covid 19 nchi nyingi dunian michezo ilikuwa imesimama mwanangu alipata tabu sana alikonda kabisa yani.

Vijana tufanye kazi maana kubet mpaka siku ukija kupata pesa ya maaana ujue hapo nyuma ungeamua kufany kitu cha maana basi ungefika hatua fulani.

Mapovu ruksa kwa wazee wa mikeka wazee wa fursa.
TBT
 
Spin and win
 
Attachments

  • Screenshot_20210319-222918.jpg
    Screenshot_20210319-222918.jpg
    119 KB · Views: 28
  • Screenshot_20210319-222908.jpg
    Screenshot_20210319-222908.jpg
    130.5 KB · Views: 27
Kuna mmoja nilikuwa naye kipindi hicho naishi Kijichi. Kabeti mikeka kadhaa kakabaki kajero akasema haka nibeti kichaa(ngumu kumeza). Asubuhi akakuta ile miwili ya kawaida imechanika. Akakumbuka ule wa kichaa,kuucheki umetiki bhana! Milioni 15!! Kaenda kibandani alipobetia kuucheki kakuta 'you won'.

Wakamwambia sisi hatuna hiyo hela aende Kariakoo.Wahuni wakajaa pale kawapa ahadi kedekede.Alivyoondoka watu wakamsubiri kwa hamu.Hakurudi.

Tukapata taarifa alipitiliza hadi mkoa mwingine kabisa. Baada ya miezi kadhaa nikarudi Dar es salaam nikasikia naye asharudi zamani sema hakai ule mtaa tena.Maisha yake vipi? Nikaambiwa yaleyale tu sema sahivi kulewa sana tu.

Nikaamini hela usiyotafutia jasho haikai!
milioni 15 ndogo kabisa kwa pesa ya bettin usiposhutuka miezi miwili tu kwisha yote. mi nilipata hapo mil3.2 haikufanya lolote zaidi ya starehe uchwara.
 
Ukikuta watu wa betting wako kwenye kubeti utafikiri wanafunzi wako darasani pia wako makini mno.
Uamuzi wa kuacha ni wenu chukueni tahadhari tu
Hiyo ni kwa hao wasio na facilities nyingine au pia hawajabanwa na majukumu mengine. Lakini mimi huwa naweka mkeka kwa kutumia computer yangu ofisini au nyumbani, sina haja kwenda kibandani, na dakika kumi tu zinanitosha kuusoma na kuuweka, halafu ninaendelea na ishu nyingine za nyumbani au ofisini. Gharama za mkeka kwangu huwa hazinitishi, siogopi wala sihuzuniki kuweka buku buku maana siku nyingine napata zaidi ya hiyo pia. Ila jana Mamelodi kanifanyia roho mbaya kwa kumuacha Kaizer Chiefs

1629102870380.png
 
View attachment 1894248
Mkuu unabetia kampuni gani?
 
Back
Top Bottom