thebogo055
Member
- Jun 22, 2020
- 19
- 176
Leo nina mood ya kusema jambo kwa wanaopenda kubet wazee wa mikeka. Betting nayo ni uraibu kama uraibu mwingine tu kama wa madawa ya kulevya, pombe, ngono nk.
Ila kwenye betting ndio unakuwa masikini kabisaaaa tena wa gafla tu. Ukiwa addict unaona kila unavyoliwa basi mkeka ujao utakula mbona, timu zinazocheza ni za ushindi tu basi unatia mpunga baada ya dk. 90 unajuta na kesho tena una bet.
Wapo wanaokula vizuri tu wenye bahati zao lakini kuna wengine dah utawaonea huruma. Halafu ubaya wa betting unaeza kuliwa laki, baadaye ukaja kula elfu 20 ukajiona umekuuula kumbe umepoteza 80k hapo nyuma.
Kuna mtu namjua anabet mpaka mashindano ya farasi najiulizaga maswali mengi nakosa majibu.. yani kwenye farasi 20 unabet kujua atashinda yupi?
Kuna watu wanajua kuchezea hela bhana dah. Mtu yupo radhi asile chakula ili akatoe mkeka. Kile kipindi cha covid 19 nchi nyingi dunian michezo ilikuwa imesimama mwanangu alipata tabu sana alikonda kabisa yani.
Vijana tufanye kazi maana kubet mpaka siku ukija kupata pesa ya maaana ujue hapo nyuma ungeamua kufany kitu cha maana basi ungefika hatua fulani.
Mapovu ruksa kwa wazee wa mikeka wazee wa fursa.