Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
[emoji23][emoji23][emoji23]Anakupenda, anataka kukutongoza ila hajui aanzie wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Anakupenda, anataka kukutongoza ila hajui aanzie wapi
TOTAL FOREIGN INVESTOR NI 52%Kenya 48%
US 21%
Bulgaria 26%
UK 5%
Labda dada ni jobless introvert.Hivi wewe huwa unalala masaa mangapi? na unafanya kazi muda gani? na je hauna hata boyfriend wakutoka nae out hata hizi weekend uwe busy?
.
Sasa hivi jipikilishe pikilishe hata kidogo basi khaaa! Jana hadi saa nane umo humu and it's normal kwako alfajiri umeshadamka umeingia sio dhambi kuwa humu muda wote ila mwenzetu umezidi ni kaushauri tu mtafute hata Beira Boy akuliwaze uwe busy angalau na Snapchat
Amekuomba pesa ya chakula?? Hivi mtu humfahamu unaanzaje kumpangia vitu vya kufanya???Hivi wewe huwa unalala masaa mangapi? na unafanya kazi muda gani? na je hauna hata boyfriend wakutoka nae out hata hizi weekend uwe busy?
.
Sasa hivi jipikilishe pikilishe hata kidogo basi khaaa! Jana hadi saa nane umo humu and it's normal kwako alfajiri umeshadamka umeingia sio dhambi kuwa humu muda wote ila mwenzetu umezidi ni kaushauri tu mtafute hata Beira Boy akuliwaze uwe busy angalau na Snapchat
Mkuu kwa moto uliotokea leo na ule wa majuzi naona kuna haja team yako inatakiwa ikutane haraka kujadili na kusitisha hii hali isijirudie maumivu nimakubwa sanaWameshapiga ndefu wameshapata mtaji wa kuanzia maisha....
Hapana wakenya wabinafsi sana,lazima waku frustrate uondoke waanzishe yao
Soon utasikia imeanzishwa betting company kubwa kama sport pesa
Heeee! 🚶🚶🚶🚶 changia uzi kalikuwa kaushauri tu na alishakapokeaAmekuomba pesa ya chakula?? Hivi mtu humfahamu unaanzaje kumpangia vitu vya kufanya???
PerhapsLabda dada ni jobless introvert.
Au ana-work from home! Si unajua tena hii era ya mitandao!
Usipaniki relax, gubu sio zuri "be humble"Nimekuomba ushauri?
Achana na mimi kabisaUsipaniki relax, gubu sio zuri "be humble"
Kendrick Lamar aliimba
wamefirisikaWameshapiga ndefu wameshapata mtaji wa kuanzia maisha....
Wewe ni mwanaume 😂😂😂😂 hiyo tabia sio nzuri iacheAchana na mimi kabisa
Kwani unanilisha bro mbona umenishupalia sanaWewe ni mwanaume [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo tabia sio nzuri iache
NiIgnore nisikuone tena😂😂Kwani unanilisha bro mbona umenishupalia sana
Niignore wewe unaeteseka ukiniona maana mimi nikifanya hivyo bado utanionaNiIgnore nisikuone tena[emoji23][emoji23]
Mind your own business bro, inaonesha muda ninaokuwepo na wewe unakuwepo sijui kinachokufanya unione mimi wa ajabu ni nini
Inawezekana maana sio kwa kunifuatilia hukoLazima anakumendea
Inawezekana maana sio kwa kunifuatilia huko