Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Umeona eeh? Either ananitaka au ana bifu na mimiWanaume tunajuana, ameoza kabisa kabisa
Kila kona unayenyuma. Popote ulipo Naye yupo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona eeh? Either ananitaka au ana bifu na mimiWanaume tunajuana, ameoza kabisa kabisa
Kila kona unayenyuma. Popote ulipo Naye yupo.
Umeona eeh? Either ananitaka au ana bifu na mimi
Huwezi jua hizi fake id hizi aisee huwenda tunajuanaBifu litoke wapi ..... anakuta Saana huyu mh.
Huwezi jua hizi fake id hizi aisee huwenda tunajuana
Ni kweli tuyaacheLabda lakini sidhani hawezi kuwa na bifu lolote ni ubinadam na udhaifu wakila mmoja wetu katika maisha
Kupenda kunamambo. watu wanalipa nauli za ndege mama nk
Ngoja tuyaache ....tuishie hapahapa
Wametofautianakwenye masuala ya kodi endapo sportpesa wakikubali wataoumia ni WakenyaWameshapiga ndefu wameshapata mtaji wa kuanzia maisha....
Tanzania haijawahi kukosa sponsor kwa miaka mingi sana. Kilicho kosekana last season ni tittle sponsor ambae walishindwana dakika za mwisho, ila Azam alitoa milioni 100 kwa kila timu kama sehemu yake ya kununu tv rights na timu kama Simba, Azam, Yanga, n.k zina udhamini wao. Bado kulikua na wadhamini wadogo wengine kama KBC e.t.c. Kenya ukitoa sport pesa hamna kitu ni empty. Gate collections za KPL ni zero ndiyo maana Gor Mahia juzi walitaka kushindwa kwenda Algeria kwenye mechi ya CAF Champions league.So KPL this time itakosa sponsor kama kwa Tanzania Football League last season? Maskini huweza fanana in some ways.