Hongera sana mkuu, natamani kuwa kama weweGwajiBoy pole nakuzoom sana kule kweny thread ya kubet mikeka,
Ila betting ni hatar na kuamua kuacha ni kujiweka bize fikra yako nje na betting
Me niliweza huu mwaka toka uanze nimebet mara moja tu na sijarudia
Na sijuh siku za uson kama ntawah rudi ila ningependa iwe ivyo
Unaweza mkuu!! Naamin hivyo ni wew tu kuamua tu, japo kuna muda mwengin unakuta unataman kwel kubet lkn wazo ukilitoa ukawek wazo lengin unakuta tu siku inapira tu, So uchaguz ni wakoHongera sana mkuu, natamani kuwa kama wewe
atampata wapi wakati nyeto huwa hawaachi,Mtafute mtu aliyeacha nyeto, atakusaidia nawewe kuacha hilo la Kubet. Pole sana
Napuna tuHabarini wana jamvi.
Sina mengi ya kuelezea ila hii issue ya BETTING tu, nimejitolea maeneo fulani na kwa mwezi naingiza 250K lakini nikiangalia maendeleo yangu tangu 2022 ni sawa na ziro, sina matumizi mengi kwa siku (hayazidi 4000/=) ila nimekuwa addicted na BETTING yaani siku haiishi bila kuweka mkeka.
Nimejikuta naingia kwenye madeni na kwa sasa nadaiwa zaidi ya 500K na watu watatu, huwa natamani kuacha ila wiki haikati narudi. Nilikuwa nimelenga kufungua studio/library mbili za kurusha movie na miziki lakini naona mwaka unaenda kuisha empty.
Deni lilianza kidogo tu ila nimekuwa na desire ya kulilipa kupitia BETTING. Nikipokea posho naweza kutumia hata laki kwa wiki nashinda lakini zote zinaishia hukohuko.
Naweza kuonekana wa ajabu lakini hii hali ndio napitia na inaniuma sana. Nimewakosea wazazi na majirani na Mungu lakini naamini huu utakuwa mwisho.
Nimeamua kwa sasa nijikite kwenykulipa madeni hayo japo naona naenda kudhalilika maana sina kitu kabisa na muda ndio huu.
Baada ya mwezi mmoja, yaani tar 30/06 nitakuja kutoa mrejesho, niombeeni ndugu zangu (seriously) niweze kuikwepa hii aibu.
Nisaidieni hata kwa ushauri wana Jf. Mwenyezi Mungu awabariki
Kujichua huwa tunaacha pale Sehemu za siri zikiwa ndogo kama pili pili kichaa, yaani nikose namna ya kushika uume. So na yeye asuburi tu kuishiwa hela ya kuweka kwa account.Mtafute mtu aliyeacha nyeto, atakusaidia nawewe kuacha hilo la Kubet. Pole sana
Habarini wana jamvi.
Sina mengi ya kuelezea ila hii issue ya BETTING tu, nimejitolea maeneo fulani na kwa mwezi naingiza 250K lakini nikiangalia maendeleo yangu tangu 2022 ni sawa na ziro, sina matumizi mengi kwa siku (hayazidi 4000/=) ila nimekuwa addicted na BETTING yaani siku haiishi bila kuweka mkeka.
Nimejikuta naingia kwenye madeni na kwa sasa nadaiwa zaidi ya 500K na watu watatu, huwa natamani kuacha ila wiki haikati narudi. Nilikuwa nimelenga kufungua studio/library mbili za kurusha movie na miziki lakini naona mwaka unaenda kuisha empty.
Deni lilianza kidogo tu ila nimekuwa na desire ya kulilipa kupitia BETTING. Nikipokea posho naweza kutumia hata laki kwa wiki nashinda lakini zote zinaishia hukohuko.
Naweza kuonekana wa ajabu lakini hii hali ndio napitia na inaniuma sana. Nimewakosea wazazi na majirani na Mungu lakini naamini huu utakuwa mwisho.
Nimeamua kwa sasa nijikite kwenykulipa madeni hayo japo naona naenda kudhalilika maana sina kitu kabisa na muda ndio huu.
Baada ya mwezi mmoja, yaani tar 30/06 nitakuja kutoa mrejesho, niombeeni ndugu zangu (seriously) niweze kuikwepa hii aibu.
Nisaidieni hata kwa ushauri wana Jf. Mwenyezi Mungu awabariki
Mi mbona nimeacha tangu 2023atampata wapi wakati nyeto huwa hawaachi,
kuna kitu kwenye psychology kinaitwa 'behavior extinction'.....
reappearance of previous conditioned behavior after a certain duration of time.
mtu alieacha nyeto huwa ni suala la muda tu anapiga tena own goal ili aanze kujulaumu.

Hahaha,Betting imenifanya masikini wa kutupwa