Betting ni biashara inayolipa, mpaka radio zimeamua kuachana na malengo ya msingi zimehamia huku. TCRA mpo kimya tu

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,577
Reaction score
4,637
Radios na TVs ila Radios sana sana, yaani ukifungua tu unakutana na tangazo la kamari. Kama zamani ilikuwa matangazo ya waganga wa kienyeji.

Sasa hivi Radio zimeamua zichezeshe zenyewe michezo hii. Hii biashara inaonekana kulipa sana.

Sijui tunatengeneza kizazi cha aina gani? Ukifungua hapa ni betting ukifungua chochote ni kamari tu. Watoto wanaokua wanajifunza nini?

Kwa maslahi ya kipato na kodi tunaharibu kizazi kijacho na cha sasa?

Yaani radio kwa siku. Content ni 20% ila BETTIN ni 80% where are we heading to?
 
RADIOs na TVs ila RADIOs Sana sana. Yaani ukifungua tu unakutana na tangazo la kamari. Kama zamani ilikuwa matangazo ya waganga wa kienyeji.

Kubashiri ni baishara halali kabisa sio haramu na hao bodi ya michezo ya kubahatisha ndio utoa leseni na ndio wapokea kodi wakuu hivyo TCRA wanayo taarifa na wanajua!
 
Kama kenya ila wao wapo unatuma sms ya neno sms inalipiwa then anaetuma nyingi ndo mshindi
 
Tafuta odds 1.20, three times a week..kila mkeka weka laki tano tano..faida ni laki 3 kwa @ wiki..Jiulize kama mangi dukan anapata faida ya 5000 ktk mauzo ghafi ya vocha za 100,000/= na hayo sio mauzo ya sku 1.
 
Kwenye kamari kuna vigezo na masharti,

Hakuna ulazima kucheza ni hiari yako mwenyewe,

Mwisho unasema TCRA wapo kimya wewe unajuaje? Kama hawana taarifa

Kama wamebariki je?
Madhara yake mbeleni kwa watoto wetu yataonekana, wengi wataona ndio njia rahisi ya mafanikio kuliko kufanya kazi.
 
Na k
RADIOs na TVs ila RADIOs Sana sana. Yaani ukifungua tu unakutana na tangazo la kamari. Kama zamani ilikuwa matangazo ya waganga wa kienyeji.

Sasa hivi Radio zimeamua zichezeshe zenyewe michezo hii. Hii biashara inaonekana kulipa sana.

Sijui tunatengeneza kizazi cha aina gani? Ukifungua hapa ni betting ukifungua chochote ni kamari tu. Watoto wanaokua wanajifunza nini?

Kwa maslahi ya kipato na kodi tunaharibu kizazi kijacho na cha sasa?

Yaani radio kwa siku. Content ni 20% ila BETTIN ni 80% where are we heading to?
Na kwa wanavyoihamasisha tusipowalea watoto vyema watakuja kuona ni kitu halali na wala si chukizo kwa Mola Mlezi
 
Back
Top Bottom