AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
RADIOs na TVs ila RADIOs Sana sana. Yaani ukifungua tu unakutana na tangazo la kamari. Kama zamani ilikuwa matangazo ya waganga wa kienyeji.
Sasa hivi Radio zimeamua zichezeshe zenyewe michezo hii. Hii biashara inaonekana kulipa sana.
Sijui tunatengeneza kizazi cha aina gani? Ukifungua hapa ni betting ukifungua chochote ni kamari tu. Watoto wanaokua wanajifunza nini?
Kwa maslahi ya kipato na kodi tunaharibu kizazi kijacho na cha sasa?
Yaani radio kwa siku. Content ni 20% ila BETTIN ni 80% where are we heading to?
Motivational speakers bana.Tafuta odds 1.20, three times a week..kila mkeka weka laki tano tano..faida ni laki 3 kwa @ wiki..Jiulize kama mangi dukan anapata faida ya 5000 ktk mauzo ghafi ya vocha za 100,000/= na hayo sio mauzo ya sku 1.
Daaah Radio One Ndio Kabisa, Kuanzia Kipindi Chao Cha Kumekucha ni Matangazo ya Kamari Tu.Radio zote zimeingia kwenye mtego wa Kamari na Makanisa ya Kitapeli + Waganga Feki. Zinatia kinyaa
Hii ni fursa kwa watu wataoanzisha radio makini kama U FM Radio
Madhara yake mbeleni kwa watoto wetu yataonekana, wengi wataona ndio njia rahisi ya mafanikio kuliko kufanya kazi.Kwenye kamari kuna vigezo na masharti,
Hakuna ulazima kucheza ni hiari yako mwenyewe,
Mwisho unasema TCRA wapo kimya wewe unajuaje? Kama hawana taarifa
Kama wamebariki je?
Na kwa wanavyoihamasisha tusipowalea watoto vyema watakuja kuona ni kitu halali na wala si chukizo kwa Mola MleziRADIOs na TVs ila RADIOs Sana sana. Yaani ukifungua tu unakutana na tangazo la kamari. Kama zamani ilikuwa matangazo ya waganga wa kienyeji.
Sasa hivi Radio zimeamua zichezeshe zenyewe michezo hii. Hii biashara inaonekana kulipa sana.
Sijui tunatengeneza kizazi cha aina gani? Ukifungua hapa ni betting ukifungua chochote ni kamari tu. Watoto wanaokua wanajifunza nini?
Kwa maslahi ya kipato na kodi tunaharibu kizazi kijacho na cha sasa?
Yaani radio kwa siku. Content ni 20% ila BETTIN ni 80% where are we heading to?
Hao ndio hawajui hata programing vizuri...yaani full time ni kamari tu...