Rayns
JF-Expert Member
- Jul 29, 2023
- 3,620
- 7,818
Aaah, hapo nimekuelewasorry,
... "tofauti 'na' kubeti! Kubeti ni tabia ya kujifunza ,na upole hukujifunza popote" (ndo ilikuwa maana yangu)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah, hapo nimekuelewasorry,
... "tofauti 'na' kubeti! Kubeti ni tabia ya kujifunza ,na upole hukujifunza popote" (ndo ilikuwa maana yangu)
sasa experience gani tena mwanawane wakati jamaa namjua na ananionyesha mikeka yakeyawezekana unaongea vitu usivyo na experince navyo ndiyo maana
bwana wewe betting is simple statistics. probability theory or to be more precise bionamial distribution hapo na mtaji wako wa maana single bet and u will be a winner every day.naijua hiyo!
anakuonyesha mikeka inayotiki tu sasa wewe si unaamini ni mwendo wi KUWIN tu, jichanganye
nakwambia hivi, nimetumia hesabu zote nilizoziweza lakini mpaka sasa nimeamini waliowekeza huko si wajinga!bwana wewe betting is simple statistics. probability theory or to be more precise bionamial distribution hapo na mtaji wako wa maana single bet and u will be a winner every day.
just simple mathematics
hesabu kali wapi bwana wewe hesabi rahisi kabisa hizo za form 5 sijui 6nakwambia hivi, nimetumia hesabu zote nilizoziweza lakini mpaka sasa nimeamini waliowekeza huko si wajinga!
Odds zinatengenezwa kwa hesabu kali sana mzee mzabzab!
Narudia tena "waliowekeza huko sio mafala"
hayawezi firisika kwa sababu mbili kuukama betting ingekuwa rahisi, au kama kungekuwa na watu walioiewa surely hayo makampuni yangefilisiwa mapeema!
mkuu imani ya "mtaji mkubwa" imeniponza!hayawezi firisika kwa sababu mbili kuu
1) binadamu wana tamaaa....wanataka 1000 apate million 20
2) lack of knowledge kwa wengi wanaobet
3) mtaji mkubwa unahitajika ili uweze kuwa succesfull in the long run ambayo 99% ya bettors huo mtaji hawana
unabeti vizuri ila ukiipoteza hiyo 300 kuirudisha ni kimbembe!
Basi kalime matikiti kama hujarudi kulia tenawewe ni muongo! Unataka kusema odds ndogo ndogo ndo hazilose?
Unajua unachokisema au unaongea tu kwasabu watu husema
Mimi nitaacha kubeti nikishinda 90M. Hakuna kazi isiyokuwa na changamoto. Hata mkiwa mnfanya kazi bank na wote mkawa mnapata mshahara mmoja, lakini kuna mmoja au wawili atakuwa vizuri kimaisha. Atakuwa na nyumba zaidi ya hata 3 magari n.k
Hapa tunaenda kwenye kitu kinachoitwa commitment na bahati. Kila mtu na bahati yake. Mimi Muhindi ananinipiga mia mbili au mia 5 lakini siku nikimpiga 90M nani atakuwa ameingia hasara?
Wewe acha kubeti kama umeamua kuacha lakini usiwatishe watu. Wewe huna hela ndio maana unalialia.
Kwani anaeshinda milioni 5 ni mmoja tanzania nzima? Hata muhindi hua anaumia sana na zaid atakua anabinya sana kende zake kwemye mecchi watu walizoweka hela nyingiUshawah kusikia msemo wa watu wa casino kuwa "the house always wins"
Hata ikitokea siku ukampiga Mhindi 90M hajapata hasara.. maana yake yeye hiyo 90M pengine anaikusanya kila aiku kutoka kwenu..
Fikiria ww unabet buku au 10k au 2k. Kila siku halafu mko zaid ya 100 mnaobet kila siku tena sio mara moja.. kwa kifupi yeyote anaeashinda anakuwa kama kachangiwa kile kias cha pesa na wenzie walioshindwa
Kuna jamaa yangu alishindaga 5M sikumbuki alibet kias gan.. baada kama ya miez kazaa akapiga tena 4M..
Nilimuliza je ushawah kufatilia histor ya kubet kwako na ww umeliwa kias gan.. akasema ngoja nichek
Kaja kuona kabla hajashind ile 5M ya kwanza alikuwa ameliwa jumla ya milion 6 na ushee.. na kabla hajashinda hii 4m ya pili miez kadhaa baadae alikuwa ameliwa pia kama 4 na ushee, kwa kifupi alichoshinda ni kama karudisha asilia 80 ya alizokuwa anapigwa
"THE HOUSE ALWAYS WINS"
Mhindi atapata hasara kama wateja wakipungua kubet.. ila sio individual kushinda