walishaona ipo hela huko ya maskini unajiokotea tuu.Na harmonize nae naskia kaanzisha kampuni na weka nikuchambue 😂
wenye mihela ndio wanafaidi. timu zake mbili mzigo million anatulia zake. wikend nikula totoz threesome tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
walishaona ipo hela huko ya maskini unajiokotea tuu.Na harmonize nae naskia kaanzisha kampuni na weka nikuchambue 😂
itakuwa mbususu tuu hamna chingine hahahahaMimi nimeacha kubeti, ila kuna kitu nimeshindwa🙌
Betting imewaliza wengi sana.Sidhani kama kuna mtu anabeti/alibeti kunishinda mimi!
Betting ina addiction ile mbaya, ikikukumba siyo rahisi kuacha.
Hongera nyingi kwa aliegundua hii michezo, alitumia akili kwelikweli! Nimetumia kila mbinu, kila hesabu ninazozijua lakini kipigo kiko palepale.
Pia niwape pole wale mnaoamini kwamba ipo siku watatusua kwenye Betting, mnajidanganya, mtaambulia hasara kiuchumi na kiafya. Namuona mtu mmoja anataka kusema ati "beti kwa starehe tu" "bet what you can afford to lose" pole sana.
Kadri unavyopoteza ndivyo unavyozidi kupambana ili uokoe ulichopoteza, aidha kwa kuongeza dau au odds. Wazee wa hizo kazi wananielewa. Kwasasa accounts zangu zote za kubetia nimeshazifunga japo kuna wakati nashawishika sana kufungua account mpya (addiction hiyo)najizuia.
Baadhi ya vitu vilivyofanya niamue kuachana na betting;
Nilikuwa napoteza muda mwingi hata wa kazi kutengeneza mkeka (uchambuzi)
Maumivu makali ya kihisia baada ya timu moja kunichania mkeka niliotumia muda mwingi kuutengeneza, (na hiyo timu iliyochana italaaniwa sana sana😮💨)
Niliona kabisa hapa nikiendelea hivi, presha na kisukari vile palee. Hakuna wakati mgumu kama pale timu uliyoipa ushindi inafikia dakika ya 70'au 80' ubao unasoma 0-0, mapigo ya moyo yanaenda mbio, umekaa tu cha ajabu unatokwa jasho kama vile unapanda mlima.
Ilifika hatua nikawa napumzika kwa muda mchache sana, muda wa kulala mimi niko live, siyo kwamba nachati wala nini, ni nabetika.
Hata ukinitumia ujumbe WhatsApp usitegemee kujibiwa, ukipiga simu kama sio mtu ambae namheshimu sana jibu ni moja tu "nitakupigia badae kidogo, nipe dakika tano" mpaka pale tukio ninalofuatilia litakapokamilika (tabia mbovu sana hii)
Leo nimemsikia mtu anasema anatafuta mtaji aanze kubeti😆😆 Kama hujawahi kubeti, wala usitake kujifunza.
Kweli betting ni haramu ni heri uraibu mwingine wowote ila sio betting/kamari, betting ni mufilisi janjaruka mapema.
Soma Pia: Vijana tuacheni kubeti, kindege (aviator) kimenimaliza milioni 7 yote ya mtaji
Nimewasha nimepita hivi sigusiPole sana japo sio kwa namna ulivyoikandia betting ina pros na cons
Upolekipi!
Ugonjwa wa akiliBetting imewaliza wengi sana.
Big wrong, wanawake ni maadui zanguitakuwa mbususu tuu hamna chingine hahahaha
then it safe to presume that u usually shake hands with the one eyed milkman 😀😀😀😀😀😀😀Big wrong, wanawake ni maadui zangu
Big wrong, I have a best friend, he is not a man, and she is not a girl. Can you guess whome isthen it safe to presume that u usually shake hands with the one eyed milkman 😀😀😀😀😀😀😀
ikiliwa hiyo million kisa uliamini ktk timu chache hapo ubongo unaanza kupangika vizuri!walishaona ipo hela huko ya maskini unajiokotea tuu.
wenye mihela ndio wanafaidi. timu zake mbili mzigo million anatulia zake. wikend nikula totoz threesome tuu
wewe tatizo unawaza kimaskini mzeya, wapo watu wanaweka hela na wanakula hela tuu. uzuri hapa duniani kila mtu na strategy yake ila mie nimeona jamaa yeye anaweka laki tano au million mechi zake mbili anatulia zake.ikiliwa hiyo million kisa uliamini ktk timu chache hapo ubongo unaanza kupangika vizuri!
Mfano; unaweka timu zako tatu zenye jumla ya odds 1.5 au 2, au hata 1.3 kwa lengo la kupata zako faida ya 300K (1Mil.×1.34)
alafu inakanyagwa kiulaiini, matokeo LOST
Ili uweze kuipata million yako kwa mfumo wa team 3 na odd yako 1.3 kwa bet 1 itakubidi ustake kuanzia million 4, au uongeze odds nyingi zaidi (risk) ustake hela ndogo!
mara ooh tafuta timu chache odds mbili weka mpunga!
mpunga?!!
Sentensi zimesomeka, ila sijaelewa baada ya kuziunganishanadhani hukujifunza popote kuwa hivyo ulivyo tofauti kubet
nawaza kimasikini ila wewe naona umenizidi! Kabla hujabet lazima ujue kabisa unatake risk! Ukiamini ushindi moja kwa moja presha ile paleewewe tatizo unawaza kimaskini mzeya, wapo watu wanaweka hela na wanakula hela tuu. uzuri hapa duniani kila mtu na strategy yake ila mie nimeona jamaa yeye anaweka laki tano au million mechi zake mbili anatulia zake.
wikend yupo zake nyumbani park pale kihonda anapapasa misambwanda tuu
sawa mie sijakataa nawaza kimaskini zaidi. kazi yangu yenyewe kufukuza upepo na bodabodanawaza kimasikini ila wewe naona umenizidi! Kabla hujabet lazima ujue kabisa unatake risk! Ukiamini ushindi moja kwa moja presha ile palee