Betting ni mchezo unaoweza kukuletea umasikini hata kukuua!

Naomba kuuliza kuna mdau anaifahamu account ya betsolutions ya telegram, huyo jamaa ana group lake la odds 2-3 kila siku na anatoza gharama ya mwezi mzima na nusu mwezi yaani siku 15, shauku yangu nataka kufahamu kuna ukwelii au ni mbinu ya kutaka kuwapiga watu ninafikili kujiunga kule maana naona kutengeneza naliwa sana na muhindi,, muda wa kuacha bado sijafikiria ila ukifika hasara ikizidi ntaacha ila kwa sasa sina mpango huo
 
hakuna sure odds, wingi au uchache wa odds usikudanganye, hata 1.03 inachana mkeka!

Kama ana odds za uhakika kwanini asibeti mwenyewe aje kukuuzia wewe?? Wewe hauogopi?
 
Naomba kuuliza kuna mdau anaifahamu account ya betsolutions ya telegram, huyo jamaa ana group lake la odds 2-3 kila siku na anatoza gharama ya mwezi mzima na nusu mwezi yaani siku 15, shauku yangu nataka kufahamu kuna ukwelii au ni mbinu ya kutaka kuwapiga watu ninafikili kujiunga kule maana naona kutengeneza naliwa sana na muhindi,, muda wa kuacha bado sijafikiria ila ukifika hasara ikizidi ntaacha ila kwa sasa sina mpango huo
Kimbia
 
Nipo naifanyia kazi mkuu, ila ina apply kwa ........
NA ikiwezekana basi inakuwa sio kamari tena....
jidanganye!

Hakuna dawa inayoweza kubadili matokeo ya timu 13 mabara tofauti tofauti haipo haipo haipo, na wewe sio wa kwanza kuwaza hivyo! Wapo wanaoshinda ila ni 1/millions, uwe unafuatilia matokeo ya jackpot ya s.pesa uone last winner alipatikana lini!
 
Sio dawa mkuu,
 
Pia umeni quote vibaya mkuu, hujanielewa vizuri.
 
Kamari inaharibu mahusiano yako ya kifamilia na kijamii,kiuchumi,kiiamani n.k
 
sawa nadhani una uzoefu.
Ukiachana na jackpot, Ulishawahi kulose angalau mikeka miwili mitatu mfululizo?
Ndio. Jackpot suchezi lakini na2eza kubet mikeka miwili au yote ikatiki au yote ikachanika au nikala mmoja na mwingine nikapoteza.
 
[emoji3][emoji3]
we jamaa utachekwa sana ongea taratibu usisikike!
Kumbe kuna timu za ushindi?!!
Ndio. Timu za ushindi zipo. Man City, Real Madrid, PSG, Arsenal, Celtic, Ludogorets, Qarabag, HJK, Ferencovoros, AEK, PSV, na nyingine nyingi mkuu.

Ukichungulia kwenye betting ukakuta hizo timu hazipo, acha kubet siku hiyo. Usibet tu kama nyumbu unapoteza hela zako bila sababu za msingi.
 
Mkuu Kamali ni mbaya Sana Ila ukiacha usiache Kwa kutangaza.

Nilileta uzi humu WA kuacha kunywa pombe lakini huwezi Amini bado nastua mdogo mdogo Yani nimepunguza Tu.

Najua Taratibu nitaacha lakini najiuliza nikiacha mazima kunywa pombe nitatumia starehe gani jibu sijalipata bado.
Uliacha pombe kwa muda gani hadi kuanza kunywa tena.
 
Wenzio tunabet hivi sio wewe unabeti kama nyumbu mwisho wa ligi niliwithdraw mpunga wa maana namsubiri ligi zianze ni deposit pesa. Sasa wewe endelea kulialia ulifikiri siisi ni kama wewe
 
Attachments

  • Screenshot_20240807-081834.jpg
    Screenshot_20240807-081834.jpg
    450.4 KB · Views: 17
  • Screenshot_20240807-081820.jpg
    Screenshot_20240807-081820.jpg
    412.6 KB · Views: 17
  • Screenshot_20240807-081824.jpg
    Screenshot_20240807-081824.jpg
    455.5 KB · Views: 16
Back
Top Bottom