Betting ni mchezo unaoweza kukuletea umasikini hata kukuua!

bet big win big, usijali kuhusu lost bets maana uwoga wako ndo umaskini wako.
 
sasa experience gani tena mwanawane wakati jamaa namjua na ananionyesha mikeka yake
naijua hiyo!
anakuonyesha mikeka inayotiki tu sasa wewe si unaamini ni mwendo wi KUWIN tu, jichanganye
 
naijua hiyo!
anakuonyesha mikeka inayotiki tu sasa wewe si unaamini ni mwendo wi KUWIN tu, jichanganye
bwana wewe betting is simple statistics. probability theory or to be more precise bionamial distribution hapo na mtaji wako wa maana single bet and u will be a winner every day.
just simple mathematics
 
nakwambia hivi, nimetumia hesabu zote nilizoziweza lakini mpaka sasa nimeamini waliowekeza huko si wajinga!
Odds zinatengenezwa kwa hesabu kali sana mzee mzabzab!
Narudia tena "waliowekeza huko sio mafala"
 
hesabu kali wapi bwana wewe hesabi rahisi kabisa hizo za form 5 sijui 6
 
hesabu kali wapi bwana wewe hesabi rahisi kabisa hizo za form 5 sijui 6
kama betting ingekuwa rahisi, au kama kungekuwa na watu walioiewa surely hayo makampuni yangefilisiwa mapeema!
 
kama betting ingekuwa rahisi, au kama kungekuwa na watu walioiewa surely hayo makampuni yangefilisiwa mapeema!
hayawezi firisika kwa sababu mbili kuu
1) binadamu wana tamaaa....wanataka 1000 apate million 20
2) lack of knowledge kwa wengi wanaobet
3) mtaji mkubwa unahitajika ili uweze kuwa succesfull in the long run ambayo 99% ya bettors huo mtaji hawana
 
mkuu imani ya "mtaji mkubwa" imeniponza!

Mkuu naomba muda wako, changanua jinsi utakavyotumia mtaji mkubwa kujitengenezea faida, alafu mimi nitakwambia jinsi utakavyopata hasara! Sure
 
😂Nakumbuka pindi nipo chuo bana roommate wangu alikua amebaki na 80000 mfukoni afu semester ngoma bado iishe, mwamba akajitusua hela yote kabeti ili apate laki tano nadhani odds alivopangilia. Kilichofuata jamaa alilala siku mbili geto hatoki kama mgojwa betting bana🤣🤣
 
Soko la kamari ya michezo barani Afrika ni kubwa huku watumiaji wengi wa mwisho waliojitolea ambao wanatumia kiasi kikubwa kwenye mifumo tofauti ambayo inaweza kuwa mtandaoni au nje ya mtandao.

Sekta hii imekua kwa kiasi kikubwa kutoka kwa maduka ya kamari ya nje ya mtandao hadi majukwaa mengi ya kamari mtandaoni kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya intaneti katika bara hili. Kulingana na DataBridge Market Research, vifaa vya rununu vilizalisha takriban 70% ya mapato ya kamari mtandaoni mnamo 2020, ikionyesha athari kubwa ya vifaa vinavyowezeshwa na intaneti katika tasnia ya kamari.

African countries with the largest sports betting population
 
Ushawah kusikia msemo wa watu wa casino kuwa "the house always wins"

Hata ikitokea siku ukampiga Mhindi 90M hajapata hasara.. maana yake yeye hiyo 90M pengine anaikusanya kila aiku kutoka kwenu..

Fikiria ww unabet buku au 10k au 2k. Kila siku halafu mko zaid ya 100 mnaobet kila siku tena sio mara moja.. kwa kifupi yeyote anaeashinda anakuwa kama kachangiwa kile kias cha pesa na wenzie walioshindwa

Kuna jamaa yangu alishindaga 5M sikumbuki alibet kias gan.. baada kama ya miez kazaa akapiga tena 4M..

Nilimuliza je ushawah kufatilia histor ya kubet kwako na ww umeliwa kias gan.. akasema ngoja nichek

Kaja kuona kabla hajashind ile 5M ya kwanza alikuwa ameliwa jumla ya milion 6 na ushee.. na kabla hajashinda hii 4m ya pili miez kadhaa baadae alikuwa ameliwa pia kama 4 na ushee, kwa kifupi alichoshinda ni kama karudisha asilia 80 ya alizokuwa anapigwa

"THE HOUSE ALWAYS WINS"

Mhindi atapata hasara kama wateja wakipungua kubet.. ila sio individual kushinda
 
Kwani anaeshinda milioni 5 ni mmoja tanzania nzima? Hata muhindi hua anaumia sana na zaid atakua anabinya sana kende zake kwemye mecchi watu walizoweka hela nyingi
 
Jamaa siku 15 zilizopita aliweka 50000 akala 100000 juzi mechi ya Yanga na Kengold kaweka yanga ashinde goli kuanzia 3 kaweka 108000 ale 138000 apate faida ya 38000 kilichomkuta kaliwa hela yote juzi akabeti ya Simba kwamba anashinda 2-1 akaliwa tena 🤣🤣 sasa hivi kageuka mwanafalsafa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…