hahah ukistaajabu ya musa ya firaun yatakushangazaKwa hio Mungu wao anakunya, anagongwa, pia analala??? Iblisi alimuambia firauna kuwa mm nina makosa lakini ww umezidi kijana, yaani ww unajiita Mungu?? India pia wana mungu ng'ombe, hii dunia ina vituko jamani duhh
Kila mtu anauhuru wa kuabudu dini yake usiine yako kama ndo ya kweli wakati uliletewa na waarabu/wazunguKwa hio Mungu wao anakunya, anagongwa, pia analala??? Iblisi alimuambia firauna kuwa mm nina makosa lakini ww umezidi kijana, yaani ww unajiita Mungu?? India pia wana mungu ng'ombe, hii dunia ina vituko jamani duhh
Na akifa itakuwaje?Eti ni Nani wa kumwabudu huyo kicheche?
Kwenda motoni au peponi ni matendo yako mkuu.Church kwa beyonce siyo, angalia usije ukawa kuni yake ya kuchomewa siku ya mwisho.
Hukuhuku jirani na BeyonceKanisa lenu liko wapi nije kuvuta Bangi Na kunywa Konyagi?
Mnamuabudu mtu halaf ikifika usiku anachezea dushe la Jigga.. kumbe hata marekani kuna akina jingalos
Kifo chake kimekaribia walahi
tuko pamoja sana,Mimi nasema ata original ya hawa kina mtume sijui yesu ni ivi ivi tu sipingi Uwepo wa supernatural Power (GOD) ila swala la dini limejaa sitofahamu ndio maana sifungamani na dini yoyote ile
a.k.a TITOKanisa lenu liko wapi nije kuvuta Bangi Na kunywa Konyagi?
Teh teh, mutakubali tu, taari watu wamejitengenezea biblia hukoKila mtu anauhuru wa kuabudu dini yake usiine yako kama ndo ya kweli wakati uliletewa na waarabu/wazungu