BEYISM: Dini ya Beyonce yawa gumzo duniani

BEYISM: Dini ya Beyonce yawa gumzo duniani

Kwa hio Mungu wao anakunya, anagongwa, pia analala??? Iblisi alimuambia firauna kuwa mm nina makosa lakini ww umezidi kijana, yaani ww unajiita Mungu?? India pia wana mungu ng'ombe, hii dunia ina vituko jamani duhh
hahah ukistaajabu ya musa ya firaun yatakushangaza
 
Haya sasa.
Kwa wale wanaotusumbua kwa kusema.
mungu hayupo...!
Mnioneshe mungu...!
Thibitisha kama mungu yupo...!

mungu ndio huyo hapo. Anaonekana wazi kabisa.
Nendeni mkampapase kuthibitisha uwepo wake

Msitusumbue tena kwa ubishi wa Kitoto.

Cc.. Atheist and Unbelievers
akina Al-Watas na Karanga.
 
Kwa hio Mungu wao anakunya, anagongwa, pia analala??? Iblisi alimuambia firauna kuwa mm nina makosa lakini ww umezidi kijana, yaani ww unajiita Mungu?? India pia wana mungu ng'ombe, hii dunia ina vituko jamani duhh
Kila mtu anauhuru wa kuabudu dini yake usiine yako kama ndo ya kweli wakati uliletewa na waarabu/wazungu
 
Church kwa beyonce siyo, angalia usije ukawa kuni yake ya kuchomewa siku ya mwisho.
Kwenda motoni au peponi ni matendo yako mkuu.
Waswahili wanakwambia, fata maneno yangu na si matendo.
 
Mimi nasema ata original ya hawa kina mtume sijui yesu ni ivi ivi tu sipingi Uwepo wa supernatural Power (GOD) ila swala la dini limejaa sitofahamu ndio maana sifungamani na dini yoyote ile
tuko pamoja sana,
 
Back
Top Bottom