BEYISM: Dini ya Beyonce yawa gumzo duniani

Na soon tu utaona jiwe nae anataka kuabudiwa
 
it's a another business venture in another forms, the few clever people using the ignorant majority as a ladder to reach their economic ambitions
 
tuwekeeni hiyo link ya beyble tusome
 
Mimi nasema ata original ya hawa kina mtume sijui yesu ni ivi ivi tu sipingi Uwepo wa supernatural Power (GOD) ila swala la dini limejaa sitofahamu ndio maana sifungamani na dini yoyote ile
kweli hata hawa kina Yesu na mtume mwamedi walianza hivi hivi kilichowasaidia generation yao ilikuwa ina amini sana mambo ya natural power kuliko sasa ila inachukua three generation kwa imani kukubaliwa kwenye jamii beyonce akikomaa after three generation imani yake ina peak up
 
Usimfananishe Muhammad na hao plz
 
Hahaaa huyo mungu akikuboa unamchapa makofi..
 
Je Beyonce anakuwepo kila siku kanisani,,hata mi ningeenda tushachoka kwenda kusali sehemu unafika ni kutishwa mwanzo mwisho
 
Unaona vituko vya hawa akinamama? Biblia inasema " wanawake na wanyamaze katika kanisa" Haikuwa na maana wasije kanisani la hasha ila wasishike nafasi za juu kabisa za maamuzi. Ona sasa nadhani kuna makanisa mengine ambayo yameanzisha na nabii mwanamke
 
MASTAA KIBAO
Inaelezwa kuwa, Dini ya Beyism tayari ina waumini maelfu ambapo inaonesha baadhi ya wafuasi wa Beyism ni watu maarufu kama vile Kanye West, Mariah Carey, Rihanna, Nicki Minaj na wengineo.[/QUOTE]
Mbona Kanye west wanasema nae ana dini yake au anaabudu dini mbili kwa wakati mmoja
 
Mimi nasema ata original ya hawa kina mtume sijui yesu ni ivi ivi tu sipingi Uwepo wa supernatural Power (GOD) ila swala la dini limejaa sitofahamu ndio maana sifungamani na dini yoyote ile
Huko Ulaya anatakiwa kagame akatawale hata miaka 2 makanisa yote hayatakuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…