Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaaKanisa lenu liko wapi nije kuvuta Bangi Na kunywa Konyagi?
kweli hata hawa kina Yesu na mtume mwamedi walianza hivi hivi kilichowasaidia generation yao ilikuwa ina amini sana mambo ya natural power kuliko sasa ila inachukua three generation kwa imani kukubaliwa kwenye jamii beyonce akikomaa after three generation imani yake ina peak upMimi nasema ata original ya hawa kina mtume sijui yesu ni ivi ivi tu sipingi Uwepo wa supernatural Power (GOD) ila swala la dini limejaa sitofahamu ndio maana sifungamani na dini yoyote ile
Usimfananishe Muhammad na hao plzkweli hata hawa kina Yesu na mtume mwamedi walianza hivi hivi kilichowasaidia generation yao ilikuwa ina amini sana mambo ya natural power kuliko sasa ila inachukua three generation kwa imani kukubaliwa kwenye jamii beyonce akikomaa after three generation imani yake ina peak up
Hahahaha mbavu zangu mie eti mungu anachezea dushe la Jigga hahahaMnamuabudu mtu halaf ikifika usiku anachezea dushe la Jigga.. kumbe hata marekani kuna akina jingalos
Hahaaa huyo mungu akikuboa unamchapa makofi..Haya sasa.
Kwa wale wanaotusumbua kwa kusema.
mungu hayupo...!
Mnioneshe mungu...!
Thibitisha kama mungu yupo...!
mungu ndio huyo hapo. Anaonekana wazi kabisa.
Nendeni mkampapase kuthibitisha uwepo wake
Msitusumbue tena kwa ubishi wa Kitoto.
Cc.. Atheist and Unbelievers
akina Al-Watas na Karanga.
Ukiona hivyo jua mwisho u karibu love....hivi haya mambo ni kweli??lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siti ya mbele kabisa kanisani
Huko Ulaya anatakiwa kagame akatawale hata miaka 2 makanisa yote hayatakuwepoMimi nasema ata original ya hawa kina mtume sijui yesu ni ivi ivi tu sipingi Uwepo wa supernatural Power (GOD) ila swala la dini limejaa sitofahamu ndio maana sifungamani na dini yoyote ile