BEYISM: Dini ya Beyonce yawa gumzo duniani

BEYISM: Dini ya Beyonce yawa gumzo duniani

Hahahaha... Kwa hiyo kwa kuwa watu wanataka 'mungu' anayeonekana, wakaamua kumchagua beyonce...

Hivi vichwa vyetu... Hahahah
 
Sasa kanisa lote hilo na ni huko marekani ni $ 850,000(1.7 billion) tena linaonekana lipo kati kati ya mji kabisa sasa hilo kanisa lingekua Tanzania na jinsi watu walivyojichokea linaweza izwa hata 5-7 billion
 
Siku wakimuona mungu wao anachezea mjeredi wa jigga afu anatoa vilio vya kila rangi Mara kawekwa dog sijui itakuaje
 
Dah haya mambo ndio miaka 50 au 100 ijayo watu wakiikuta wanashindwa kutambua dini ya kweli ipi hapa maana mpaka sasa zilizopo tu nyingi, yarabi tupe mwangaza waja wako Amin In Sha Allah
 
Kazikwelikweli tutarajie kusikia superstar wa tz nae kaanzisha dini yake
 
Mnamuabudu mtu halaf ikifika usiku anachezea dushe la Jigga.. kumbe hata marekani kuna akina jingalos
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20180610_112442.jpg
IMG_20180610_112513.jpg
 
Haifiki popote hiyo dini yake!
 
Back
Top Bottom