Beyonce adaiwa kununua kanisa huko Jimbo la New Orleans Marekani

Beyonce adaiwa kununua kanisa huko Jimbo la New Orleans Marekani

Hao ndio manabii wa uongo walitabiriwa katika biblia,au unadhani manabii wa uongo ni wepi? Binadamu anaangamia kwa kukosa maarifa.
Angalia hapo kwenye picha jinsi anavyotukuzwa na wapenda muziki.
Kiasi kwamba anaona anaweza kuabudiwa.
Hivyo yeye anataka awe miungu na aabudiwe.
Sio kwamba anataka utumishi wa kuwa Nabii au Chungaji.
Lengo lake hao wafuasi wake wamwabudu yeye binafsi.
Kama wanavyomwabudu yule mwanamuziki mwingine.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom