Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Angalia hapo kwenye picha jinsi anavyotukuzwa na wapenda muziki.Hao ndio manabii wa uongo walitabiriwa katika biblia,au unadhani manabii wa uongo ni wepi? Binadamu anaangamia kwa kukosa maarifa.
Kiasi kwamba anaona anaweza kuabudiwa.
Hivyo yeye anataka awe miungu na aabudiwe.
Sio kwamba anataka utumishi wa kuwa Nabii au Chungaji.
Lengo lake hao wafuasi wake wamwabudu yeye binafsi.
Kama wanavyomwabudu yule mwanamuziki mwingine.
Sent using Jamii Forums mobile app