Angalia hapo kwenye picha jinsi anavyotukuzwa na wapenda muziki.
Kiasi kwamba anaona anaweza kuabudiwa.
Hivyo yeye anataka awe miungu na aabudiwe.
Sio kwamba anataka utumishi wa kuwa Nabii au Chungaji.
Lengo lake hao wafuasi wake wamwabudu yeye binafsi.
Kama wanavyomwabudu yule mwanamuziki mwingine.