Gazeti la the Sun USA,habari imetafsiriwa na imelda
Kwa hiyo ulikuwa unanitegua
I remember those days...though sitaki sana kukumbuka hayo,umewaza nin? Aah aah lol,changamoto ni muhimu sometimes
nimewaza mengi nilipangaga kukukaushia ukawa ukini quote na ku ignore sikuwahi kudhania hata tunaweza
kuchat hivo I was mad ile mbaya...ila yameisha sa hivi wagombanao ndio wapatanao(ila sio wote)
poa poa.......nilishaionaga mda
Tabia za kim itakuwa ndo sababu make nilisikiaga beyonce hakufurahi Kanye kuwa na kim kwasababu Kim hana tabia nzuri, naomba usiniulize sosi tafadhali...Beyonce anamuonea wivu Kim alivyo mzuriiii
Pia nadhani na tabia yake Kim ya umalaya ndio maana anamkwepaa maana Beyonce katuliaa
Tabia za kim itakuwa ndo sababu make nilisikiaga beyonce hakufurahi Kanye kuwa na kim kwasababu Kim hana tabia nzuri, naomba usiniulize sosi tafadhali...
Weka picha
hivi unakumbuka tulivyozenguanaga humu ndani hadi tukapewa BAN.....
Beyonce anamuonea wivu Kim alivyo mzuriiii
Pia nadhani na tabia yake Kim ya umalaya ndio maana anamkwepaa maana Beyonce katuliaa
Sasa katika hao wawili yupi mzuri..beyonce hawezi mwonea wivu hata tone
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Inakugharimu nini kumuweka kwenye ignore list mtu jingaz?