Beyonce agoma kuwa matron wa kimkardashian

Beyonce agoma kuwa matron wa kimkardashian

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Kimkardashian na beyonce wamekuwa marafiki kupitia waume zao, kanye west na jay Z,ila inavyoonekana urafiki wao sio wa kivile baada ya Beyonce kugoma kuwa matron wa ndoa yao inayotarajiwa kufanyika ivi karibuni. " huwa wamekuwa marafiki kupitia wapenzi wao lakini beyonce anaonyesha kutotaka kushirikiana na mwenzie kwenye mambo yake ,Beyonce ameombwa sana awe matron wa Kim lakini mke Huyo wa jay z amekataa" kilieleza chanzo ambacho ni rafiki wa Kim.
 
I remember those days...though sitaki sana kukumbuka hayo,umewaza nin? Aah aah lol,changamoto ni muhimu sometimes

nimewaza mengi nilipangaga kukukaushia ukawa ukini quote na ku ignore sikuwahi kudhania hata tunaweza

kuchat hivo I was mad ile mbaya...ila yameisha sa hivi wagombanao ndio wapatanao(ila sio wote)
 
nimewaza mengi nilipangaga kukukaushia ukawa ukini quote na ku ignore sikuwahi kudhania hata tunaweza

kuchat hivo I was mad ile mbaya...ila yameisha sa hivi wagombanao ndio wapatanao(ila sio wote)

I felt bad too,that's y I used that trick ambayo umeshaijua Ku make peace with you,ingawa nilijua umenisahau,kumbe na wewe ulipataga ban?? Aaah aah lol,it was awkward moment..ila si unajua kazi zetu za humu zilivyokuwa ngumu?? Ukikosea tu silazi damu,aaah aaah,kikazi zaid lol
 
Beyonce anamuonea wivu Kim alivyo mzuriiii
Pia nadhani na tabia yake Kim ya umalaya ndio maana anamkwepaa maana Beyonce katuliaa
 
Beyonce anamuonea wivu Kim alivyo mzuriiii
Pia nadhani na tabia yake Kim ya umalaya ndio maana anamkwepaa maana Beyonce katuliaa

Kuna tetesi kuwa Kim alimegea Beyonce tunda lake hvyo sio rahis kupatana wale,japokuwa wanajitahid kujinafikisha
 
Beyonce anamuonea wivu Kim alivyo mzuriiii
Pia nadhani na tabia yake Kim ya umalaya ndio maana anamkwepaa maana Beyonce katuliaa
Tabia za kim itakuwa ndo sababu make nilisikiaga beyonce hakufurahi Kanye kuwa na kim kwasababu Kim hana tabia nzuri, naomba usiniulize sosi tafadhali...
 
Beyonce anamuonea wivu Kim alivyo mzuriiii
Pia nadhani na tabia yake Kim ya umalaya ndio maana anamkwepaa maana Beyonce katuliaa

Sasa katika hao wawili yupi mzuri..beyonce hawezi mwonea wivu hata tone

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom