warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Kimkardashian na beyonce wamekuwa marafiki kupitia waume zao, kanye west na jay Z,ila inavyoonekana urafiki wao sio wa kivile baada ya Beyonce kugoma kuwa matron wa ndoa yao inayotarajiwa kufanyika ivi karibuni. " huwa wamekuwa marafiki kupitia wapenzi wao lakini beyonce anaonyesha kutotaka kushirikiana na mwenzie kwenye mambo yake ,Beyonce ameombwa sana awe matron wa Kim lakini mke Huyo wa jay z amekataa" kilieleza chanzo ambacho ni rafiki wa Kim.