Beyonce kaanzisha kanisa lake?

@@@@ et kama mbinguni dhambi zinahesabiwa kwa comparison basi pepo inanihusu.
 
Sasa Beyonce ana tofauti gani na haya makanisa ya hapa kwetu?mbona kila mchungaji ana kanisa lake na redio station yake na anapiga nyimbo za. Kwaya ya kanisa lake na mahubiri yake na biblia wanazo tumia utakuta anataja andiko kwenye biblia alioshika yeye lakini hutoona huo mstari katika biblia nyingine mwisho utaambiwa kitabu hiki kinapatikana kwa shilingi elfu 20,huko marekani ni kawaida sana ndio tunakoenda huko soon tutaweka bible pembeni tumfuate lucifer direct.Wapigaji ni wengi sahivi.
 
Kwa Sasa Ni Kama Utani Ila Baada Ya Karne Kama Tatu Hivi Vizazi Hivyo Vitaamini Katika Mambo Kama Yeezus Na Beyism. Take It From Me
 
Naye Jay Z ataanzisha lake. Je huo kwao ni uwekezaji au kutaka sifa tu?
 
Kanisa alijaanZishwa n beyonce kanisa limeanzisha n fans wke 12 walikuwa wanakutana kila cku n kupata marijuana n kuimba nyimbo za queen bee km
 

Sio kila habari ya fb n insta una kurupuka unaleta jf kanisa lipo toka 2013/14 n wanZilishi wke wanajulikana embu soma vizuri
 
Dunia inaumwa. Tena moyo wa dunia ndio unaugua zaidi. Eeh Mungu uketiye mahali pa juu palipo inuka; uliyetukuka; mtakatifu wa watakatifu; Bwana wa mabwana; Mungu wa miungu tunaomba rehema mbele ya kiti chako cha rehema
Aaaamen
 
Pengine umehamishiwa jukwaa la dini
 
Beyism ipo but haijaanzishwa na Beyonce na wala yeye hahusiki. Imeanzishwa na kikundi fulani cha watu ambao wanamuamini Beyonce kama mungu wa kike
 
Duuu!! Amazing nasema wote mashwetan,, hata kama siruhusiw kumhukumu binadam mwenzangu bt kwa hlo la kujifanya mungu mtu wacha niseme hao ni mashetaniiiii
 
Bila kujali ni habari ya kutunga au ya kweli
Bila kujali ni picha za kutengeneza ama la
Bila kujali mhusika alikanusha....
Kuna jambo kubwa sana la kujifunza hapa kwamba mambo ya kiimani yamefikia hatua ya kudhihakiwa kwa kiwango cha juu kabisa ...na imani iliyoathirika zaidi ni imani ya kikristo na madhehebu yake
 
Mungu atabaki kuwa Mungu, na Mwana wake atashuka upesi kulichukua kanisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…