Beyonce kaanzisha kanisa lake?

Beyonce kaanzisha kanisa lake?

Moderator rudisheni ile thread yangu kuhusu unafiki wa binadamu katika imani maana kwenye ule uzi nilisema kabisa siku hizi kila mtu ni Nabii/kila mtu ni Mchungaji na nikaongeza kuwa hakuna biashara inayolipa kama kuanzisha huduma za kiroho.

Ule Uzi niliuweka hapa siku 3 zilizopita ila nahisi uliondolewa.Nakumbuka niliongelea wakristo na makanisa na pia waislamu na misikiti.

Naomba mrudishe ule Uzi wangu kwasababu hata Baba askofu Mokiwa nae aliongea baadhi ya mambo yaliyofanana na Yale niliyoyasema.

Rudisheni ili waliokuwa wananitukana na kunikejeli wajitafakari kama walinitendea haki.
uzi wako umeongea upuuzi mkuu......
unaponda wachungaji wa makanisa ya walokole.......
uzi wako hauna maana ndomana umetolewa....na Moderator
msiulete apa........tafadhali
 
kwani hajaridhika na mziki wake tu jamani au haumlipi? mpaka kahamua sasa kwenda huko tena kunanini jamani?
kweli dunia INA mambo.
 
Guys haya ndio yale makanisa na medhehebu tunayoyasoma kwenye vitabu, the end is very near, mimi na confess nilikuwa ni mtu wa Mungu but ninachofanya sasa mda mwingine nashindwa kujielewa ila sasa nimeamua narudi kwenye mstari ilifika kipindi nikiona neno Mungu na skip thread humu JF wakati mm ndio nilikua napingana na faizafoxy na kahtaan

Nilikua naenda church daily asubuh saa kumi na mbili niko church azania front na ninatoka mbezi na ofisi iko kijitonyama, kama miezi 6 sasa sijakanyaga church, ila Mungu mi mwema nitakaa sasa nasali sana
[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36]
 
Wapi Askofu Zachary Kakobe..Askofu Pekee aliyekataa kabisa element zote za kishetani ikiwamo mawigi, surual, unabii wa uwongo...na dhambi nyinginezo zotee kwa ujasiri kabisa...

Endelea askofu najua kuna wengi wakupingao ila Mimi hata aje mtoto wako ezekiel akanipinga kuhusu wewe..Sitaweza kuacha kuyaishi mahubiri yako...

cc😡jf moderator
@Bishopzacharykakobe
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] nimwizi kama wez wengine hana lolote
 
jidanganye mkuu
hata kipindi cha NUHU watu walihubiriwa sana neno la MUNGU na wakakashifu kama wewe
ila yaliyowakuta baadae walijuta.......
jipange mkuu hizi siku za mwisho YESU anarudi aiseeeeee
wapo waliopinga kma wewe ikla leo hawapo.......siku za mwisho hizi mkuu
YESU YU KARIBU KURUDI WANDUGU
=dhehebu
jambo hilo lipo mkuuuu
ni sahihi na hilo zehebu lake lina waumini pia....trust him
 
mkuu we unamuelewa vizuri huyo mdada?????
unajua kma ni agent mkubwa wa shetani/ibilisi???????
alikuwa mkristo zamani nw days ni jina2 ni devil uyo mdada.........
alikuwa illuminati sasa ni mungu😎😎😎😎😎
jay zee yeye freemasonry
 
Satirical news, wafia dini wataichukua kama ilivyo na kuanza ku preach utadhani ni kweli, watu bwana. Kweli naamini tu wavivu wa kufuatilia mambo, nimeshangaa leo pia mtu fulani msabato akaanza kutoa neno aki refer kwenye hii issue. Kwa kweli sikumchelewesha nikamwambia toa mfano mwingine maana hilo umechemsha na haujafuatilia.

Website ya the news nerd akishuka chini kabisa kwenye about utakuta maneno haya

The stories posted on TheNewsNerd are for entertainment purposes only. The stories may mimic articles found in the headlines, but rest assured they are purely satirical.

Mwenye akili na ajiongeze...
 
alikuwa illuminati sasa ni mungu jay zee freemasonry
mkuu
freemason ni devil......
na beyonce anavyovifanya ni kuchanganya watu na kuteka watu akili kwakuwa maarufu na watu wanarespect watu maarufu
na kuiga maisha ya watu maarufu,...so atapata waumini wengi tu watakaopotoka..........
kumbuka lengo kuu la shetani ni kupata wafuas wengi wa kwenda nao jehanamuuuu
 
Satirical news, wafia dini wataichukua kama ilivyo na kuanza ku preach utadhani ni kweli, watu bwana. Kweli naamini tu wavivu wa kufuatilia mambo, nimeshangaa leo pia mtu fulani msabato akaanza kutoa neno aki refer kwenye hii issue. Kwa kweli sikumchelewesha nikamwambia toa mfano mwingine maana hilo umechemsha na haujafuatilia.

Website ya the news nerd akishuka chini kabisa kwenye about utakuta maneno haya

The stories posted on TheNewsNerd are for entertainment purposes only. The stories may mimic articles found in the headlines, but rest assured they are purely satirical.

Mwenye akili na ajiongeze...
Prosper C Manasse unasemaje kuhusu hii comment?
 
Daah mshkaji yani mpka unatwambia twende net wakati inaonesha kabsa sura ya beyonce bt mwili sio wake.
 
Back
Top Bottom