Beyonce kaanzisha kanisa lake?

Beyonce kaanzisha kanisa lake?

Hii ni album yake mpya mashabiki wake mkae mkao Wa kuupokea ujio wake mpya
 
Hakuna cha palapanda wala nini, wazungu washashtukia kua hakuna mungu ndio maana wanaamua kulocha.
jidanganye mkuu
hata kipindi cha NUHU watu walihubiriwa sana neno la MUNGU na wakakashifu kama wewe
ila yaliyowakuta baadae walijuta.......
jipange mkuu hizi siku za mwisho YESU anarudi aiseeeeee
wapo waliopinga kma wewe ikla leo hawapo.......siku za mwisho hizi mkuu
YESU YU KARIBU KURUDI WANDUGU
 
Mtoa mada ana mawazo ya kushangaza sana nimeona niachane naye sidhani kama anamuelewa beyonce au anaielewa vyema google..
mkuu we unamuelewa vizuri huyo mdada?????
unajua kma ni agent mkubwa wa shetani/ibilisi???????
alikuwa mkristo zamani nw days ni jina2 ni devil uyo mdada.........
 
Guys haya ndio yale makanisa na medhehebu tunayoyasoma kwenye vitabu, the end is very near, mimi na confess nilikuwa ni mtu wa Mungu but ninachofanya sasa mda mwingine nashindwa kujielewa ila sasa nimeamua narudi kwenye mstari ilifika kipindi nikiona neno Mungu na skip thread humu JF wakati mm ndio nilikua napingana na faizafoxy na kahtaan

Nilikua naenda church daily asubuh saa kumi na mbili niko church azania front na ninatoka mbezi na ofisi iko kijitonyama, kama miezi 6 sasa sijakanyaga church, ila Mungu mi mwema nitakaa sasa nasali sana
Mithali 24
16 Kwa maana mwenye haki huanguka mara saba akaondoka tena; Bali wasio haki hukwazwa na mabaya.

match forward.
 
Your story is true!
Warumi 1:29 inasema kwamba 'kwa kuwa walimkataa Mungu (true God) katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa ili wapate kuangamia!
ni sahihi mkuuuu.........
hawa watu waliopotoka wametoka kweli ila sisi watakatifu na tuzd kuwa watakatifu......
 
"Jitahidini kuingia katika mlango ulio mwembamba, kwa maana nawaambia ya kwamba wengi watataka kuingia, wasiweze." - Luka 13:24 ( By Yesu).
njia ni ngumu mkuu.......
wacha tuliokuwa huku tuzd kuwa watakatifu.........
na wanaofata tamaa zao wazd kufata maana hawataki kuaminiiii
 
Guys haya ndio yale makanisa na medhehebu tunayoyasoma kwenye vitabu, the end is very near, mimi na confess nilikuwa ni mtu wa Mungu but ninachofanya sasa mda mwingine nashindwa kujielewa ila sasa nimeamua narudi kwenye mstari ilifika kipindi nikiona neno Mungu na skip thread humu JF wakati mm ndio nilikua napingana na faizafoxy na kahtaan

Nilikua naenda church daily asubuh saa kumi na mbili niko church azania front na ninatoka mbezi na ofisi iko kijitonyama, kama miezi 6 sasa sijakanyaga church, ila Mungu mi mwema nitakaa sasa nasali sana
mkuu safi sana....nakukaribisha pentekoste pia
 
Kila Mmoja Anautashi Wake Ktk Mambo So Ni Heri Yule Atumiaye Hekima Kuchambua Kuliko Mshabiki.
 
Moderator rudisheni ile thread yangu kuhusu unafiki wa binadamu katika imani maana kwenye ule uzi nilisema kabisa siku hizi kila mtu ni Nabii/kila mtu ni Mchungaji na nikaongeza kuwa hakuna biashara inayolipa kama kuanzisha huduma za kiroho.

Ule Uzi niliuweka hapa siku 3 zilizopita ila nahisi uliondolewa.Nakumbuka niliongelea wakristo na makanisa na pia waislamu na misikiti.

Naomba mrudishe ule Uzi wangu kwasababu hata Baba askofu Mokiwa nae aliongea baadhi ya mambo yaliyofanana na Yale niliyoyasema.

Rudisheni ili waliokuwa wananitukana na kunikejeli wajitafakari kama walinitendea haki.
 
Sio kwel hii habari ata yy mwenyewe alikusha watu waliunda blog ikaoneka ni blog yake lakini si kwel
 
Back
Top Bottom