Beyonce kaanzisha kanisa lake?

Ninyi Ambao Hamuamini Ingieni Net Andikeni The National Church Of Bey, Mtapata Hadithi Nzima Hapo.

Kazi Ipo Wadau Ndo Imani Hizo
Acha bange mkadanganyane na huyo mpuuzi mwenzenu Malisa huko Facebook.. Hiyo habari haijapostiwa kwenye reliable source yoyote zaidi ya viblog uchwara.. Wala kwenye pages za Beyonce mwenyewe hakuna hivyo vitu mnavyodanganyana
 
" when Jesus say Yes, no body can say No.." Beyonc
 
Acha bange mkadanganyane na huyo mpuuzi mwenzenu Malisa huko Facebook.. Hiyo habari haijapostiwa kwenye reliable source yoyote zaidi ya viblog uchwara.. Wala kwenye pages za Beyonce mwenyewe hakuna hivyo vitu mnavyodanganyana
Sawa Mkuu Nimekuelewa, Endelea Na Msimamo Wako Lakn Hakuna Alolazimishwa Kuamini, By The Way, Uamini Usiamini Haipunguzi Wala Kuongeza Unga Ktk Mishe Zako.
 
Na ukiwa unapost upumbavu kama huu chini acknowledge aliyeandika.. Sawa kijana
 
Acha mambo ya kitoto ndugu usitake kupotosha watu na net zako hizo unazozirudia rudia kuzitaja taja hapa? Ni nani kakwaaminisha kuwa kila unachokiona internet huwa ni cha kweli?
Mtoa mada ana mawazo ya kushangaza sana nimeona niachane naye sidhani kama anamuelewa beyonce au anaielewa vyema google..
Acha bange mkadanganyane na huyo mpuuzi mwenzenu Malisa huko Facebook.. Hiyo habari haijapostiwa kwenye reliable source yoyote zaidi ya viblog uchwara.. Wala kwenye pages za Beyonce mwenyewe hakuna hivyo vitu mnavyodanganyana
 
Ninyi Ambao Hamuamini Ingieni Net Andikeni The National Church Of Bey, Mtapata Hadithi Nzima Hapo.

Kazi Ipo Wadau Ndo Imani Hizo
Your story is true!
Warumi 1:29 inasema kwamba 'kwa kuwa walimkataa Mungu (true God) katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa ili wapate kuangamia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…