Prosper C Manasse
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 635
- 690
Najua Hujui Kusoma Lakn Hata Picha Hizo Zimekuwa Kikwazo Kujua Ndugu?!, Pole Sananikatafute references za hii haijakaa kama ukweli...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua Hujui Kusoma Lakn Hata Picha Hizo Zimekuwa Kikwazo Kujua Ndugu?!, Pole Sananikatafute references za hii haijakaa kama ukweli...
Sure I can see the point nowBeen seeing this,but a reliable source could do better I guess
sawa ahsanteNajua Hujui Kusoma Lakn Hata Picha Hizo Zimekuwa Kikwazo Kujua Ndugu?!, Pole Sana
Mshana Kajiunge Huko Maana Ukiwa Muumini Hukosi Ghorofa Lako1 K'koo Au Posta [emoji2] [emoji2] [emoji2]Dunia inaumwa
Hapana Mungu ninayemwamini na kumtumikia anatosha sitaki ziadaMshana Kajiunge Huko Maana Ukiwa Muumini Hukosi Ghorofa Lako1 K'koo Au Posta [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kweli Mkuu Mi Nadanganya Tu Hapa, Ukitaka Ukweli Nenda Net Andika National Church Of Bey.hakuna kitu kama hicho
swissme
Acha bange mkadanganyane na huyo mpuuzi mwenzenu Malisa huko Facebook.. Hiyo habari haijapostiwa kwenye reliable source yoyote zaidi ya viblog uchwara.. Wala kwenye pages za Beyonce mwenyewe hakuna hivyo vitu mnavyodanganyanaNinyi Ambao Hamuamini Ingieni Net Andikeni The National Church Of Bey, Mtapata Hadithi Nzima Hapo.
Kazi Ipo Wadau Ndo Imani Hizo
Acha mambo ya kitoto ndugu usitake kupotosha watu na net zako hizo unazozirudia rudia kuzitaja taja hapa? Ni nani kakwaaminisha kuwa kila unachokiona internet huwa ni cha kweli?Kweli Mkuu Mi Nadanganya Tu Hapa, Ukitaka Ukweli Nenda Net Andika National Church Of Bey.
Sawa Mkuu Nimekuelewa, Endelea Na Msimamo Wako Lakn Hakuna Alolazimishwa Kuamini, By The Way, Uamini Usiamini Haipunguzi Wala Kuongeza Unga Ktk Mishe Zako.Acha bange mkadanganyane na huyo mpuuzi mwenzenu Malisa huko Facebook.. Hiyo habari haijapostiwa kwenye reliable source yoyote zaidi ya viblog uchwara.. Wala kwenye pages za Beyonce mwenyewe hakuna hivyo vitu mnavyodanganyana
Na ukiwa unapost upumbavu kama huu chini acknowledge aliyeandika.. Sawa kijanaSawa Mkuu Nimekuelewa, Endelea Na Msimamo Wako Lakn Hakuna Alolazimishwa Kuamini, By The Way, Uamini Usiamini Haipunguzi Wala Kuongeza Unga Ktk Mishe Zako.
Mtoa mada ana mawazo ya kushangaza sana nimeona niachane naye sidhani kama anamuelewa beyonce au anaielewa vyema google..Acha mambo ya kitoto ndugu usitake kupotosha watu na net zako hizo unazozirudia rudia kuzitaja taja hapa? Ni nani kakwaaminisha kuwa kila unachokiona internet huwa ni cha kweli?
Acha bange mkadanganyane na huyo mpuuzi mwenzenu Malisa huko Facebook.. Hiyo habari haijapostiwa kwenye reliable source yoyote zaidi ya viblog uchwara.. Wala kwenye pages za Beyonce mwenyewe hakuna hivyo vitu mnavyodanganyana
Your story is true!Ninyi Ambao Hamuamini Ingieni Net Andikeni The National Church Of Bey, Mtapata Hadithi Nzima Hapo.
Kazi Ipo Wadau Ndo Imani Hizo