Beyonce kaanzisha kanisa lake?

Wasomi Wa Jf, Badala Ya Kujadili Hoja Mnakurupuka Na Matusi Kumtukana Mtoa Uzi, Fikirini Mara2 Zaid Na Mkae Mkijua Kumpinga Na Kumtukana Mtu Si Kuondoa Dhana Ya Ukwel Kwa Jambo Husika.
Wenye Busara Wamesoma Na Kupima Lakn Hawajaja Na Matusi Kisha Wakajiona Wasomi.
 
Alafu amecopy kwa kijana mmoja anaitwa Godlisten Malisa.. Jamaa ndio kakamata namba ya Nyerere kule Facebook.. Anawadanganya watoto wa watu mpaka unaona huruma... Alafu dhana ndio hiyohiyo awe wa kwanza na aonekane anajua kila kitu
Unachopinga Hapa Ni Kipi Mkuu?.
Mbona Kibwetele Aliweza Kuwadanganya Watu Na Akawachoma Moto Pale Uganda So Unachopinga Ni Nin Hapa?.

Kwmb Beyonce Hawez Kufanya Hivyo Au Vipi? Ebu Anayepinga Aje Na Hoja Asiishie Matusi.
 
Wabongo bna...wavivu sana kutafuta taarifa sahihi,kutoka kwa vyanzo sahihi na kwa wakati sahihi..tutawatawala sana kwa akili zenu ndg hvo
 
Unachopinga Hapa Ni Kipi Mkuu?.
Mbona Kibwetele Aliweza Kuwadanganya Watu Na Akawachoma Moto Pale Uganda So Unachopinga Ni Nin Hapa?.

Kwmb Beyonce Hawez Kufanya Hivyo Au Vipi? Ebu Anayepinga Aje Na Hoja Asiishie Matusi.
Angefanya hivyo angeshaandika kwenye page zake za Instagram na Twitter ili apate waumini zaidi... Inaonyesha ni kwa jinsi gani hujui lolote
 
Hivi na wewe una jiita great thinker kweli?? yaani umeshindwa kuona izo picha ni za kutengeneza tazama apo mikono ameinua kichwa kime fanya kupachikwa pili wame edit picha za kina kanye west, nick minaj vime pachikwa vichwa tuu..
Fatilia ili
i.Apo hakuna source iyo article na iyo mipicha hai eleweki ime andaliwa na nani
ii.Kama kweli ilo kanisa lina exist na ili ku support uwepo wake wametumia picha kumuonesha Bey sasa kwann watu editie izo picha..
Mi naona uyo ali andaa hiyo article ndie agent of devil anae taka kutu aminisha uwepo wa dini zao za kishwetani
 
Hizi blog zinawafanya watu wabuni story ili wapate vistors wengi kuongeza kamishina. Picha zipo edited. Editor kafanya Color correction lakn bado unaona tofauti ya mikono na kichwa.

Tuwe makini na hizi habari jamani. Hizi technology zitatufanya tuone mengi. Leo nimeona picha ya noti ya elfu 1 Nyerere amevua shati sababu ya joto la Dar.
 
Wapi Askofu Zachary Kakobe..Askofu Pekee aliyekataa kabisa element zote za kishetani ikiwamo mawigi, surual, unabii wa uwongo...na dhambi nyinginezo zotee kwa ujasiri kabisa...

Endelea askofu najua kuna wengi wakupingao ila Mimi hata aje mtoto wako ezekiel akanipinga kuhusu wewe..Sitaweza kuacha kuyaishi mahubiri yako...

cc😡jf moderator
@Bishopzacharykakobe
 
Mkuu Umeongea Sahihi Sana, Tukumbuke Jambo1Si Kila Story Ni Uongo Au Kweli.
Hizi Story Tunakutananazo Mitandaoni Kama Google Na Sehemu Nyinginezo, Kuileta Humu Ni Dhumuni La Watu Kujua Na Kuchangia Kuhusu Jambo Husika.

Mjadala Unaweza Kuwa Wa Kistaarabu Tu Na Badala Ya Kutukanana. Wewe Umeeleza Vyema Sana Kwmb Haya Mambo Yapo Na Inawezekana Mtu Kaedit Picha Au Vipi.

So Nakubaliana Nawe Kwmb Ukweli Unaweza Kuwepo Na Unaweza Usiwepo Lakn Jambo La Msingi Ni Jamii Kupata Ujumbe Huu Na Hakuna Alolazimishwa Aamini.

Tusubiri Mtayaona Haya Ndugu, Nashukuru Kwa Mchango Wako Wakistaarabu.

KUMBUKA.
PICHA INAWEZA KUCHORWA PIA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…