above metal04
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 272
- 224
Hakuna cha palapanda wala nini, wazungu washashtukia kua hakuna mungu ndio maana wanaamua kulocha.muda wowote parapanda italia
ni kweli mkuu ni muda sas takribani miez mi3 lipo hewani......nikatafute references za hii haijakaa kama ukweli...
mkuu ni sahihi hii dini ameianzisha........shetani anazd kufanya kaz kwa nguvu usku na mchanahakuna kitu kama hicho
swissme
jidanganye mkuuHakuna cha palapanda wala nini, wazungu washashtukia kua hakuna mungu ndio maana wanaamua kulocha.
jambo hilo lipo mkuuuuAcha mambo ya kitoto ndugu usitake kupotosha watu na net zako hizo unazozirudia rudia kuzitaja taja hapa? Ni nani kakwaaminisha kuwa kila unachokiona internet huwa ni cha kweli?
mkuu we unamuelewa vizuri huyo mdada?????Mtoa mada ana mawazo ya kushangaza sana nimeona niachane naye sidhani kama anamuelewa beyonce au anaielewa vyema google..
Mithali 24Guys haya ndio yale makanisa na medhehebu tunayoyasoma kwenye vitabu, the end is very near, mimi na confess nilikuwa ni mtu wa Mungu but ninachofanya sasa mda mwingine nashindwa kujielewa ila sasa nimeamua narudi kwenye mstari ilifika kipindi nikiona neno Mungu na skip thread humu JF wakati mm ndio nilikua napingana na faizafoxy na kahtaan
Nilikua naenda church daily asubuh saa kumi na mbili niko church azania front na ninatoka mbezi na ofisi iko kijitonyama, kama miezi 6 sasa sijakanyaga church, ila Mungu mi mwema nitakaa sasa nasali sana
ni sahihi mkuuuu.........Your story is true!
Warumi 1:29 inasema kwamba 'kwa kuwa walimkataa Mungu (true God) katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa ili wapate kuangamia!
njia ni ngumu mkuu......."Jitahidini kuingia katika mlango ulio mwembamba, kwa maana nawaambia ya kwamba wengi watataka kuingia, wasiweze." - Luka 13:24 ( By Yesu).
so mzungu ndie mastermind wako, sasa na ushoga kauruhusu, kazi kwako.Hakuna cha palapanda wala nini, wazungu washashtukia kua hakuna mungu ndio maana wanaamua kulocha.
hiyo dini ni ya beyonce na si ukristo.......~~~~~>Kwa makaf'r kila Jambo linawezekana .
mkuu safi sana....nakukaribisha pentekoste piaGuys haya ndio yale makanisa na medhehebu tunayoyasoma kwenye vitabu, the end is very near, mimi na confess nilikuwa ni mtu wa Mungu but ninachofanya sasa mda mwingine nashindwa kujielewa ila sasa nimeamua narudi kwenye mstari ilifika kipindi nikiona neno Mungu na skip thread humu JF wakati mm ndio nilikua napingana na faizafoxy na kahtaan
Nilikua naenda church daily asubuh saa kumi na mbili niko church azania front na ninatoka mbezi na ofisi iko kijitonyama, kama miezi 6 sasa sijakanyaga church, ila Mungu mi mwema nitakaa sasa nasali sana