evansGREATDeal
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 4,013
- 2,333
uzi wako umeongea upuuzi mkuu......Moderator rudisheni ile thread yangu kuhusu unafiki wa binadamu katika imani maana kwenye ule uzi nilisema kabisa siku hizi kila mtu ni Nabii/kila mtu ni Mchungaji na nikaongeza kuwa hakuna biashara inayolipa kama kuanzisha huduma za kiroho.
Ule Uzi niliuweka hapa siku 3 zilizopita ila nahisi uliondolewa.Nakumbuka niliongelea wakristo na makanisa na pia waislamu na misikiti.
Naomba mrudishe ule Uzi wangu kwasababu hata Baba askofu Mokiwa nae aliongea baadhi ya mambo yaliyofanana na Yale niliyoyasema.
Rudisheni ili waliokuwa wananitukana na kunikejeli wajitafakari kama walinitendea haki.
unaponda wachungaji wa makanisa ya walokole.......
uzi wako hauna maana ndomana umetolewa....na Moderator
msiulete apa........tafadhali