Beyonce kaanzisha kanisa lake?

Wajinga watakao kubaliana na hili bila kufanya research zao wenyewe.

Hujaelewa nini uongo.

Ndio Kuna hilo kanisani lakini Beyonce hausiki kabisa. Alikana kuhusu hili . Ni fans wake ndio walio kuja na hii idea na sio yeye na ye hakubaliani na hili .
 
Nashukuru Kwa Kumjuza Kwmb Huyu Dada Ni Agent Mkubwa Wa Shetan Tena Yeye Na Mumewe.
mkuu kwa anaelewa haya mambo yako open mbona......vitu wanavyofanya watu wanaofatilia wanaona kawaida
hata vyakishetani
ila huwa wanampa shetani nafaas ila watu waone kuwa ni mambo ya kawaida kumbe ndo ulimwengu unapotea hivyo.......
na shetani anazd kupata nafas........
ulaya vijana hawaendi makanisani kabisa.....all days ni starehe na kuangalia music,awards nini sijui nk
wamewateka vijana ilhali wapo mbali na MUNGU....hayo mambo yamepangwa ili kupotosha watu ibilisi apate wafuasi wa kwenda nao jehanamu....mtu ukimwambia anapinga wakati hajui kitu.....
ndugu we stay where you are......last days
YESU Aliyasema haya na mitume wengi tu,..paulo,yohana n.k
 
Ashawah kukiri kwamba ye ni illuminat kwny kipind kimoja iv cha UK ila akusema chochote kuhusu jay Z, but tc confirmed hawa jamaa wako kwa satan
 
HADITHI ZENU NA CONSPIRANCY THEORIES ZENU MSIZILETE HAPA. WENZENU WANAFANYA KAZI NYIE MNAHANGAIKA KUWANANGA NA VIPICHA FAKE, AKILI KICHWANI.
 
Ninyi Ambao Hamuamini Ingieni Net Andikeni The National Church Of Bey, Mtapata Hadithi Nzima Hapo.

Kazi Ipo Wadau Ndo Imani Hizo
Kweli Mkuu Mi Nadanganya Tu Hapa, Ukitaka Ukweli Nenda Net Andika National Church Of Bey.
Acha bange mkadanganyane na huyo mpuuzi mwenzenu Malisa huko Facebook.. Hiyo habari haijapostiwa kwenye reliable source yoyote zaidi ya viblog uchwara.. Wala kwenye pages za Beyonce mwenyewe hakuna hivyo vitu mnavyodanganyana
Acha mambo ya kitoto ndugu usitake kupotosha watu na net zako hizo unazozirudia rudia kuzitaja taja hapa? Ni nani kakwaaminisha kuwa kila unachokiona internet huwa ni cha kweli?
Wabongo wanafikiri kila kinachoandikwa Google ni ukweli mtupu hawajui kua hivo vitu wanavosoma vinaandikwa na bloggers uchwara wa AdSense
 
Wabongo wanafikiri kila kinachoandikwa Google ni ukweli mtupu hawajui kua hivo vitu wanavosoma vinaandikwa na bloggers uchwara wa AdSense
Alafu anasema bila aibu eti Google hivi upate hiyo habari hahahaha
 
Acha bange mkadanganyane na huyo mpuuzi mwenzenu Malisa huko Facebook.. Hiyo habari haijapostiwa kwenye reliable source yoyote zaidi ya viblog uchwara.. Wala kwenye pages za Beyonce mwenyewe hakuna hivyo vitu mnavyodanganyana
Ni habari ya ukweli....ipo pia kwenye mtandao wa tumbl
 
Ashawah kukiri kwamba ye ni illuminat kwny kipind kimoja iv cha UK ila akusema chochote kuhusu jay Z, but tc confirmed hawa jamaa wako kwa satan
Hawa Wanataka Hii HabarinIandikwe Na Adimin Ndio Waamini Lakn Ipo Siku Watasikia Na Kujua Ukweli.
 
Acha bange mkadanganyane na huyo mpuuzi mwenzenu Malisa huko Facebook.. Hiyo habari haijapostiwa kwenye reliable source yoyote zaidi ya viblog uchwara.. Wala kwenye pages za Beyonce mwenyewe hakuna hivyo vitu mnavyodanganyana
 
Acha bange mkadanganyane na huyo mpuuzi mwenzenu Malisa huko Facebook.. Hiyo habari haijapostiwa kwenye reliable source yoyote zaidi ya viblog uchwara.. Wala kwenye pages za Beyonce mwenyewe hakuna hivyo vitu mnavyodanganyana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…