Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
[emoji15] [emoji15]Kiukweli hizi ni zama za mwisho..View attachment 782160
Kipato alixhonacho nahisi kinampumbaza na kujiona ni wamileleSooon atapotea tuu
Ila Mungu sio mtu.. na hawez kufaYupo sawa dini sio Mungu na Mungu sio dini
Ni sawa tu na wachungaji wa huku kwetu waliowageuza waumini mazezetaIla Mungu sio mtu.. na hawez kufa.
Sio pesa ndugu... kwani yeye tu ndio anazo?Aise pesa zikiwa nyingi zinakosa kazi.....[emoji45][emoji45][emoji45]
Sio pesa ndugu... kwani yeye tu ndio anazo?Aise pesa zikiwa nyingi zinakosa kazi.....[emoji45][emoji45][emoji45]