Beyonce, kumbuka umezaliwa na watu kama wewe na hii dunia umeikuta

Beyonce, kumbuka umezaliwa na watu kama wewe na hii dunia umeikuta

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Kiukweli hizi ni zama za mwisho..
Screenshot_20180520-195511.jpg
 
Mwanadamu hata siku moja hatotosheka, kama shetani tu alipopewa kila kitu na Mungu mwisho akataka na yeye awe Mungu. Kuridhika ni tabia njema ya mtoto wa Mungu huku kujikweza ni tabia ya kishetani.
 
Kuna watu wengi tu wanaabudu majitu ya Ajabu hapa duniani.
Mi sishangai kwani hata maandiko yameandika nyakati kama hiz kuwa zitakuwepo.
_Yupo wa Kuabudiwa mmoja tu JUU NA CHINI ya Jua nae ni MUNGU Tu.
Tena Mungu anaempa pumzi bure huyo demu wa Jay Z.
 
Back
Top Bottom