Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Utukufu kwa mtu ambae muda wowote ni mfu ni uchawi.Hawa ndo wanaojielewa.
Hata mimi Nipo mbioni kuanzisha utukufu wangu
Umeona eeh.. Wanafikiri Mungu ni LIL'WAYNEAahhh bahati nzuri Mungu mwenye Nguvu naasobadilika, alisema " Kila goti litapigwa mbele yake"..
Tatizo hawa wanapotoshaga weeeeeee alafu wakikaribia kufa, wanamuomba Mungu awasamehe dhambi ....daaaahh
Yeah, a very bright idea, keep going Beyonce!Safi sana
Pale sikio linapojaribu kulizidi kichwa!Kiukweli hizi ni zama za mwisho..View attachment 782160
Yeah, akili safi sana, mijitu inalaumu sijui nini, wakati inakamuliwa hela daily na akina Lusekelo hadi wanaendesha Hammer, Kwa nini Beyonce iwe nongwa?Hawa ndo wanaojielewa.
Hata mimi Nipo mbioni kuanzisha utukufu wangu
Kama unajua Lusekelo ni sawa na huyu.. Huoni wote wezi tu.Yeah, akili safi sana, mijitu inalaumu sijui nini, wakati inakamuliwa hela daily na akina Lusekelo hadi wanaendesha Hammer, Kwa nini Beyonce iwe nongwa?
Kujua au kutokujua hakufanyi kutojulikana MUNGU nani na Binadamu nani?Safi sana wee kama imekuuma tafuta hela nawe uanzishe dini yako,povu linakutoka wee unajua ukristo na uislamu umetoka wapi na umekujaje Africa
AMINAWapo watakao msapoti na kumuweka kama mungu wao,lkn mungu ni mungu atabaki kuwa mungu.
Hapana, wote sio wezi, sio wezi kwa sababu wanachokifanya ni halali na kinakubalika kwa mujibu wa sheria. Ndio maana nikampongeza Beyonce kwa ubunifu huo.Kama unajua Lusekelo ni sawa na huyu.. Huoni wote wezi tu.
Hakuna Mungu'mtu wanapoteza muda tu woote wanaocheza michezo hii.. na imani ndogo huyumbishwa sana na Watu hawa.
By Ngugi wa thiong'oThings fall apart!