Beyonce, kumbuka umezaliwa na watu kama wewe na hii dunia umeikuta

Aahhh bahati nzuri Mungu mwenye Nguvu naasobadilika, alisema " Kila goti litapigwa mbele yake"..

Tatizo hawa wanapotoshaga weeeeeee alafu wakikaribia kufa, wanamuomba Mungu awasamehe dhambi ....daaaahh
 
Umeona eeh.. Wanafikiri Mungu ni LIL'WAYNE
 
Wapo watakao msapoti na kumuweka kama mungu wao,lkn mungu ni mungu atabaki kuwa mungu.
 
Na amesha shonesha vazi linalofanana na la papa
 
Hawa ndo wanaojielewa.

Hata mimi Nipo mbioni kuanzisha utukufu wangu
Yeah, akili safi sana, mijitu inalaumu sijui nini, wakati inakamuliwa hela daily na akina Lusekelo hadi wanaendesha Hammer, Kwa nini Beyonce iwe nongwa?
 
Safi sana wee kama imekuuma tafuta hela nawe uanzishe dini yako,povu linakutoka wee unajua ukristo na uislamu umetoka wapi na umekujaje Africa
 
Kama unajua Lusekelo ni sawa na huyu.. Huoni wote wezi tu.
Hakuna Mungu'mtu wanapoteza muda tu woote wanaocheza michezo hii.. na imani ndogo huyumbishwa sana na Watu hawa.
 
Kujua au kutokujua hakufanyi kutojulikana MUNGU nani na Binadamu nani?
 
Kwahiyo siku akivaa yale mavazi yake ya nusu uchi hao wafuasi wake hua hawaoni aibu mungu wao kukaa uchi?

Ina maana siku akifa na dini yake nayo ndio itakufa?

Siku akipigwa na mume wake ambaye ni Jay zee wafuasi wake watakubali kweli mungu wao kupigwa?

Ahahahahaa! teh! teh!
 
Kama unajua Lusekelo ni sawa na huyu.. Huoni wote wezi tu.
Hakuna Mungu'mtu wanapoteza muda tu woote wanaocheza michezo hii.. na imani ndogo huyumbishwa sana na Watu hawa.
Hapana, wote sio wezi, sio wezi kwa sababu wanachokifanya ni halali na kinakubalika kwa mujibu wa sheria. Ndio maana nikampongeza Beyonce kwa ubunifu huo.
 
Mungu atamtandika fimbo , atapapotea sana. Hizo pesa zinamuwasha.
 
Huyo ni mungu sio MUNGU....mungu gani anaMBWATO na binadamu tena msela tu jigga?
 
Back
Top Bottom