Beyonce, kumbuka umezaliwa na watu kama wewe na hii dunia umeikuta

Kwahiyo akiukalia ukuni wa muhuni anavyougulia na waumini wake wanalalamika?
 
Namimi ntajiunga, maana nasikia anagawa papa kwa kila muumini
 
sasa kosa lake nini jamaan mbona hamuwasemi walioanzisha ukristo na uislam acheni ujinga
 
nitafurahi kama akinipa uwakilishi uku bongo niweze kuieneza hii dini ya dada Beyonse
 
Mungu aliyajua haya kuna siku yatatokea na ndio maana alikupa vitabu vya dini na utashi alikugawia,ili uelewa njia ipi sahihi na kujua nabii gani wa ukweli na wale wapigaji .Tumia utashi wako kila ufanyapo maamuzi yanayohusiana na imani yako,huku ukiongozwa na vitabu vya mungu ,soma WEWE mwenyewe uvielewe kwani mwisho wa siku maamuzi ni yako na mungu atakuhukumu kutokana na maamuzi yako.
 
Dini uliletewa na wazungu na waarabu kinachokukera nn? Makanisa/Madhehebu yote yameanzishwa na watu kwann yeye Beyonce asiwe na haki ya kuanzisha? Hata wewe unaweza kuanzisha la kwako
 
Dini uliletewa na wazungu na waarabu kinachokukera nn? Makanisa/Madhehebu yote yameanzishwa na watu kwann yeye Beyonce asiwe na haki ya kuanzisha? Hata wewe unaweza kuanzisha la kwako
Ndugu Unajua maana ya Kuabudiwa Au Kusujudiwa??
Haina uhusiano na kuanzisha Kanisa.
Punguza nguvu.. Akili itakusaidia zaidi.
 
Mwanadamu hata siku moja hatotosheka, kama shetani tu alipopewa kila kitu na Mungu mwisho akataka na yeye awe Mungu. Kuridhika ni tabia njema ya mtoto wa Mungu huku kujikweza ni tabia ya kishetani.
Safi sana Sina chakuongeza
 
Mungu Mwenyezi ni Mungu mwenye wivu.. Ole wao wanaojaribu kujivika utukufu wa Mungu Mtakatifu Aliye Mbinguni!

Ole wao!
 
sasa kosa lake nini jamaan mbona hamuwasemi walioanzisha ukristo na uislam acheni ujinga
Ila hawasujudii mtu.. Ishu sio kuanzisha kanisa.. Kumhubiri Mola sio kosa.
Ujinga ni wewe kujiona umetosha kuwa Mungu.
 
Hawa ndo wanaojielewa.

Hata mimi Nipo mbioni kuanzisha utukufu wangu
Hilo jambo lingefanywa afrika usingeongea hivyo, ungekuwa unazungumzia jinsi waafrika walivyopumbazwa na imani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…