barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Kama ni kweli, LIFE IS A BITCH AND IT DEPENDS ON HOW YOU TREAT IT!Kiukweli hizi ni zama za mwisho..View attachment 782160
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni kweli, LIFE IS A BITCH AND IT DEPENDS ON HOW YOU TREAT IT!Kiukweli hizi ni zama za mwisho..View attachment 782160
illuminati huyo yupo "" kazini hpoSooon atapotea tuu
huyo ni devil worship mkuu"' hapo yupo ktika kutimiza masharti aliyowekewaAise pesa zikiwa nyingi zinakosa kazi.....[emoji45][emoji45][emoji45]
Dini uliletewa na wazungu na waarabu kinachokukera nn? Makanisa/Madhehebu yote yameanzishwa na watu kwann yeye Beyonce asiwe na haki ya kuanzisha? Hata wewe unaweza kuanzisha la kwakoKuna watu wengi tu wanaabudu majitu ya Ajabu hapa duniani.
Mi sishangai kwani hata maandiko yameandika nyakati kama hiz kuwa zitakuwepo.
_Yupo wa Kuabudiwa mmoja tu JUU NA CHINI ya Jua nae ni MUNGU Tu.
Tena Mungu anaempa pumzi bure huyo demu wa Jay Z.
Ndugu Unajua maana ya Kuabudiwa Au Kusujudiwa??Dini uliletewa na wazungu na waarabu kinachokukera nn? Makanisa/Madhehebu yote yameanzishwa na watu kwann yeye Beyonce asiwe na haki ya kuanzisha? Hata wewe unaweza kuanzisha la kwako
Safi sana Sina chakuongezaMwanadamu hata siku moja hatotosheka, kama shetani tu alipopewa kila kitu na Mungu mwisho akataka na yeye awe Mungu. Kuridhika ni tabia njema ya mtoto wa Mungu huku kujikweza ni tabia ya kishetani.
Ila hawasujudii mtu.. Ishu sio kuanzisha kanisa.. Kumhubiri Mola sio kosa.sasa kosa lake nini jamaan mbona hamuwasemi walioanzisha ukristo na uislam acheni ujinga
Hilo jambo lingefanywa afrika usingeongea hivyo, ungekuwa unazungumzia jinsi waafrika walivyopumbazwa na imani.Hawa ndo wanaojielewa.
Hata mimi Nipo mbioni kuanzisha utukufu wangu