Beyonce na Jay Z washitakiwa kwa kuiba mtoto (Blue Ivy) na kujifanya ni wao

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,325
Reaction score
2,491
Hawa ni waimbaji maarufu duniani walioana hivi karibuni (Beyonce born 1980, Jay Z born 1969). Age is nothing but a number kama wanavyodai wao.

Inadaiwa kuwa Beyonce alikuwa na ujauzito wa bandia alipokwenda hospitali kujifungua ndipo huo mchezo ukafanyika na kufanikiwa kumwiba Blue Ivy ambapo mama yake asili anaitwa Tina Seal, ndiye aliyekwenda kuwashitaki wawili hawa wenye kumiliki makampuni na mapesa mengi lakini wanaonekana kutokuwa na uwezo wa kuzaa.

Mapenz matamu na ndoa pia ni tamu ila msipojaliwa kuwa na mtoto, ni kivumbi.

Watu huwa wanahaha hadi kwa waganga kujitafutia watoto.

Tusikilizie kama watanyang'anywa mtoto Blue Ivy ama itakuwaje.

===============


====
 
Ngoja nisubiri, mimi mwenyewe ndio kwanza nasikia hii
 
Mapema sana kuamini uharo huu,huyu mama ajitokeze apimwe DNA na mtoto akidanganya adhabu yake ni Defamation ambayo atatakiwa amlipe fedha nyingi sana Jigga na Mke wake sijui kama ataweza kulipa Fine hiyo
 
Mapema sana kuamini uharo huu,huyu mama ajitokeze apimwe DNA na mtoto akidanganya adhabu yake ni Defamation ambayo atatakiwa amlipe fedha nyingi sana Jigga na Mke wake sijui kama ataweza kulipa Fine hiyo

utajiri wa Jay Z unakadiriwa kuwa zaidi ya US$550 Milion. Atamudu kumlipa vizuri tu.
 

Kazi kweli kweli

As whispers circulate about a Beyoncé – Jay-Z split; the power couple have been hit by another family rumor bombshell as a homeless woman has filed a lawsuit asking for compensation after alleging she'd given her eggs to the couple.
Radar Online | Beyonce & Jay Z Sued By Woman Claiming To Be Blue Ivy's Mother
 
Woman files lawsuit to win full custody of Beyonce's daughter, Blue Ivy
Camille Banzon|Tuesday, August 19 2014

Aside from the recent divorce rumors, another bombshell has been dropped on Beyonce and Jay-Z as a woman files a lawsuit stating that she is the biological mother of Blue Ivy.
Named Tina Seals, the woman filed a case in New York where it is legal for surrogates to claim rights to a child even after giving birth and even if the contract does not permit the said rights.
"It is entirely possible that a surrogate could come in and have some rights to a child. Even if rights were relinquished in a contract," said Matrimonial Family Expert Leslie Barbara, in an interview with Hollywood Life.
"Basically, today's families are created in many different ways. The baby business is a whole subculture," Barbara added.
In New York, surrogacy is banned, thus making Tina's contract with the Carters, if something such as a contract exists, invalid.
Though it is natural to believe that there is no truth to the allegations, the past rumor that Beyonce wore a fake baby bump gives Seals' claim a slight window of possibility.
Follow us
On the other hand, Seal's legal history against other celebrities paints a phony coating on her claims.
Seals has previously filed a lawsuit against Kim Kardashian and Kanye West, stating that she has birthed a child and Kanye West is the father.
Seals also tried to sue Mariah Carey, demanding vocal lessons and signed CDs
 
This is bullshit! Huyo mtoto ukimtizama amefanana na jay z kabisa! Njaa mbaya sana na fame Ina gharama zake, wakati mwingine mtu anataka kick tu asikike, kuna demu mwingine alikuwa mfanyakazi wa ndani kwa jay z alidai hova aliwahi kumuomba papuchi akakataa! Mpaka katoa na nyimbo yote kutafuta kick hakuna kingine.
 
Reactions: ral
Ila mbona jz kamharibu mtoto sura namna ile, manake genes hazidanganyi wajameni! Hajamchukua beyonce kabisaa!
 
Kama jay z hakumpa mimba Beyoncé basi hata Reginald Mengi watoto watakuwa wa adoption!
 
Duniani kila mtu anajanga lake, Jigga anatengeneza hela ya kutosha, nyumbani mwanamke mzuri kila nyimbo akitoa ni hit song, Biashara zote zinaenda vizuri ila hili kama ni kweli kashfa nzito sana.
 
Ila mbona jz kamharibu mtoto sura namna ile, manake genes hazidanganyi wajameni! Hajamchukua beyonce kabisaa!

Mbona naona yupo poa mtoto, hata wangu utasema nimemharibu, lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…