Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Kwanini unampenda?
kwasababu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini unampenda?
Beyonce kwa kutoa 0712 hajambo, labda ndio maana ameshindwa kuzaa.
we mbongo acha uvivu.. nlivoandika hapo ka unataka link si ungekua ushawahi google ukaangalia, nmeweka hadi jina unashindwa kuliandika google ikakuletea results tena nyingi tu first page.. Huu uvivu wa kufikiriWeka link zinazoonesha hayo madai.
we mbongo acha uvivu.. nlivoandika hapo ka unataka link si ungekua ushawahi google ukaangalia, nmeweka hadi jina unashindwa kuliandika google ikakuletea results tena nyingi tu first page.. Huu uvivu wa kufikiri
nasikia huyo maza alishadai hadi mtoto wa yule prince na kate wa uingereza ni wake
Hahahaha ni kweli? Hahahahah anataka umaarufu kama ni hivo
Wakuu taratibu hamjui kuwa mmeshampa msongo wa mawazo mdau?yeye mwenyewe sasa hivi hata hizo picha haziamini tena !chezea nakala fake weye !hebu weka kapicha mkuu tukupe majibu ya DNA eye test.