Beyonce na Jay Z washitakiwa kwa kuiba mtoto (Blue Ivy) na kujifanya ni wao

Weka link zinazoonesha hayo madai.
we mbongo acha uvivu.. nlivoandika hapo ka unataka link si ungekua ushawahi google ukaangalia, nmeweka hadi jina unashindwa kuliandika google ikakuletea results tena nyingi tu first page.. Huu uvivu wa kufikiri
 
bora umpe darasa ndugu yangu, watu wengine uwatafunie hadi kuwamezea!
 
Hahaha, watu wanatafuta hela kwa nguvu kinoma
 
hebu weka kapicha mkuu tukupe majibu ya DNA eye test.
Wakuu taratibu hamjui kuwa mmeshampa msongo wa mawazo mdau?yeye mwenyewe sasa hivi hata hizo picha haziamini tena !chezea nakala fake weye !
 
Back
Top Bottom