Hii chai haina sukari halafu majani mengi.....
Hii chai haina sukari halafu majani mengi.....
kujudge haraka haraka sana ni ujinga, na mtu ataenda kumwambia rafiki yake,mna rafiki yake mwisho wa siku ujinga unasambaa, ndo bongo ilivo kwenye kuamini ujinga hata wa loliondo ilikua hivo hivi.... mdada Seals ashawahi kudai mtoto wa kanye na kardashian ni wake, afu akashindwa akadai mtoto prince wa Britain ni wa kwake, sasa hivi anadai wa beyonce ni wake.. ashazoeleka hana lolote anatafta umaarufu tu
Beyonce nampenda
ukitaka Katiba kuna jukwaa lake same to Ebola...
huku tuna discuss mahusiano
Kwani lazima mtu kuwahi? Ni uamuzi tualikua wapi siku zoote hizo
lt means miaka yote wamekaa bila mtoto walikuwa wanajipanga? Kinachonipa doubt ni umri walio nao kila mmoja kuwa mkubwa, bila mtoto hata wa kúsingiziwa!
Jamani bora msingeleta hii habari kwani mtaliza watu wengi hapa Tanzania manake watu wengi wameshajifanya kuwa hawa watu ni ndugu zao na kuna wengine kabisa wanajisifia makazini kuwa jana nilikuwa nachat na Jay Z ama Beyonce IG au Twitter......unawaangalia na kujiulizza hivi inakuwaje mpaka mtu mzima mwenye akili timamu aongee upuuzi kama huu. Poleni kwa wale mnaolia punde hii.
Beyonce kwa kutoa 0712 hajambo, labda ndio maana ameshindwa kuzaa.