Beyonce na Jay Z washitakiwa kwa kuiba mtoto (Blue Ivy) na kujifanya ni wao

kujudge haraka haraka sana ni ujinga, na mtu ataenda kumwambia rafiki yake,mna rafiki yake mwisho wa siku ujinga unasambaa, ndo bongo ilivo kwenye kuamini ujinga hata wa loliondo ilikua hivo hivi.... mdada Seals ashawahi kudai mtoto wa kanye na kardashian ni wake, afu akashindwa akadai mtoto prince wa Britain ni wa kwake, sasa hivi anadai wa beyonce ni wake.. ashazoeleka hana lolote anatafta umaarufu tu

Weka link zinazoonesha hayo madai.
 
Kama ni surrogate mother atulie bwana nina hakika alishakatiwa chake....Ubaya wa wamama wa hivyo, kama ni 'mwehu' anaweza akawa anawarudia kuwadai nyongeza kila uchao, na hasa kwa kuchua akaunti yao iko vizuri.
 
lt means miaka yote wamekaa bila mtoto walikuwa wanajipanga? Kinachonipa doubt ni umri walio nao kila mmoja kuwa mkubwa, bila mtoto hata wa kúsingiziwa!

wenzetu wanafikiria sana kabla ya kuamua kupata watoto....
 
Jamani bora msingeleta hii habari kwani mtaliza watu wengi hapa Tanzania manake watu wengi wameshajifanya kuwa hawa watu ni ndugu zao na kuna wengine kabisa wanajisifia makazini kuwa jana nilikuwa nachat na Jay Z ama Beyonce IG au Twitter......unawaangalia na kujiulizza hivi inakuwaje mpaka mtu mzima mwenye akili timamu aongee upuuzi kama huu. Poleni kwa wale mnaolia punde hii.
 
Hhhhhaaaaaa lo
 
h9991281_001.jpg

Kukata nyonga kulikozoeleka kwa star Beyonce si ajabu ovary yake ikapata matatizo na kabisa Fallopian tubes kunyongeka hivyo kutokuwa na uwezo wa kuangua mayai na kupitishia kwenye mirija hiyo hadi kufikia mji wa mimba tatizo linalowapata wenye kutumia viuno kutengeneza pesa kwa kuvinyonyanyonga majukwaani. Biashara inayoweza kufanyika ni ya kuzalisha kwa chupa kuunganisha sperm na yai kwa chupa kisha kuiingiza kwenye mji wa mimba. Hata wanamichezo wengi wa kike hupatwa na matatizo hayo hasa wakipitiliza mno muda wa kupata mtoto wakati fallopian hazijaathirika kwa kunyumbuliwa sana.

Biashara ya wenye kuangua mayai nchi zilizoendelea ni kubwa tu na inalipa sana kuwakirimia mastar, kisha kupandikizwa ndani ya mji wa mimba wa mwanamke, pengine tatizo ni pale mtoa yai anapofanya biashara hiyo bila kujua yai litaenda kutumika kwa mteja yupi maana waliowengi hupenda kuwatumia maajenti. Huyo anayedai yai lake huenda limepelekwa kutumika Australia na wa huko na Beyonce likatoka Maputo Msumbiji.

Beyonce hakuwa na mimba fake, ilikuwa mimba halisi, ila uwezekano wa kupandikizwa mimba kwa njia ya chupa ni mkubwa, maana mtoto anaonekana kushabihiana na baba yake, lakini yuko mbali sana kutoka taswira ya mama yake. Hata hivyo kupima kupata ukweli kunategemea na hoja zikipata nguvu mahakamani vinginevyo huyo mama atatolewa nje ya uringo wakati imeshazoeleka amekuwa na mazoea ya kuzua madai yanayofanana kama hayo kwa mastar wengi hivyo ni biashara tu ya kutafuta kutunisha mifuko bila jasho. Angeanzia kwa daktari aliyemchukua yai angekuwa amesafisha njia.
 
Duniani watu wanatafuta hela kwa gear nyingi sana - Kama mtakumbuka yule jamaa aliweka kibwagizo cha kicheko kikubwa kwenye ule wimbo wa hayati Michael Jackson Thriller naye alishawahi kusema eti na yeye aliliwa 071...... na marehemu ili alipwe fidia!
 
sasa huyu Tina yeye ni baby machine? mbona kila mtoto wa seleb kapoz ni wake?
 
Back
Top Bottom