MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,057
- 39,387
mkuu c kila k2mbo kilichovimba ni mimba!
hadi kupauka alipauka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu c kila k2mbo kilichovimba ni mimba!
Kama jay z hakumpa mimba Beyoncé basi hata Reginald Mengi watoto watakuwa wa adoption!
lt means miaka yote wamekaa bila mtoto walikuwa wanajipanga? Kinachonipa doubt ni umri walio nao kila mmoja kuwa mkubwa, bila mtoto hata wa kúsingiziwa!
Mh! haya mkuu.mkuu c kila k2mbo kilichovimba ni mimba!
alikua wapi siku zoote hizo
Hawa ni waimbaji maarufu duniani walioana hivi karibuni (Beyonce born 1980, Jay Z born 1969). Age is nothing but a number kama wanavyodai wao.
Inadaiwa kuwa Beyonce alikuwa na ujauzito wa bandia alipokwenda hospitali kujifungua ndipo huo mchezo ukafanyika na kufanikiwa kumwiba Blue Ivy ambapo mama yake asili anaitwa Tina Seal, ndiye aliyekwenda kuwashitaki wawili hawa wenye kumiliki makampuni na mapesa mengi lakini wanaonekana kutokuwa na uwezo wa kuzaa. Mapenz matamu na ndoa pia ni tamu ila msipojaliwa kuwa na mtoto, ni kivumbi. Watu huwa wanahaha hadi kwa waganga kujitafutia watoto.
Tusikilizie kama watanyang'anywa mtoto Blue Ivy ama itakuwaje.
Kama jay z hakumpa mimba Beyoncé basi hata Reginald Mengi watoto watakuwa wa adoption!
unampenda nani? Beyonce au Jay Z?
Badala ya kuzungumzia EBOLA au mchakato wa KATIBA, unamdiscuss Jay Z!! anakujua? atakusaidia nini???