mmmmh.. Kongosho apo napata wasi wasi kama kweli 'ni maam wanyumbani tu' nadhani ana maissue kibao ya kikazi ya kifrst lady anatakiwa atimize......ma functions, meetings, nk...yuko busy mbaya
Ngoja wataalam waje hapa wa mambo ya marekani kina Nyani Ngabu ivi, japo najua ni mrepublican huyu, na wengineo
Lakini HorsePower si ukishamuoa unaruhusiwa kufanya lolote lile linaloruhusiwa mbele za watu kama kumshika kiuno, kumbusu na kumkumbatia na mengine kama hayo wanaogopa nini au tatizo ni zile nyumba ndogo zitaona wivu na kuleta kasheshe
HorsePower nafikiri zaidi ni uoga na ule utamaduni wa kujifichaficha kuwa mapenzi yenu myaonyeshe chumbani sio mbele za watu unambusu mkeo au kumshika kiunoLol, sijui ni woga au utamaduni au mazoea au aibu? Ngoja nitafakari, nitarudi!
HorsePower asante kwa kuniita bro. To be honest huyu mama namkubali sana. She is so blessed kwa kweli .., sio yeye tu hata familia yake kwa ujumla. Yani wanavutia, na mwonekano wao kwa nje hauko fake wanaonyesha kweli wako na furaha na wanapendana, yeye na mume wake hata na watoto pia.Mtambuzi, baadhi wanaangalia mwandiko, lakini barua hii imebeba ujumbe mzito kuliko mwandiko wenyewe! Nilivyoisoma hiyo barua, Beyonce anamsifu Michelle kuwa pamoja na ukweli kwamba yeye ni first lady, lakini bado amebaki kama mama mwenye mapenzi ya dhati na anajinyenyekeza ndani ya familia bila kujali wadhifa alionao. Anaihudumia familia yake kana kwamba ni mke mwenye wadhifa wa kawaida. Ni funzo kwa viongozi wengine wenye nyadhifa kama hizo au zinazofanana na hizo!
Si jambo rahisi kwa viongozi wengi wa kike wa cheo chake ambao wamewahi kushuka na kutunza familia zao kwa kiwango alichokionyesha huyu mama. Nafikiri pia kwa muonekano hata mumewe ni mfano mzuri wa kumjali mkewe na ndiyo maana muda mwingi wanapotembea huonyesha mapenzi ya namna fulani. Kwa nje wanaonyesha ni mfano mzuri wa ndoa zenye furaha za kuigwa.
Nawatakia kheri wanandoa hao!
Hapa copy kwa: Kongosho, Nivea, charminglady, Mr Rocky, Eiyer, snowhite, SnowBall, neggirl
HorsePower nafikiri zaidi ni uoga na ule utamaduni wa kujifichaficha kuwa mapenzi yenu myaonyeshe chumbani sio mbele za watu unambusu mkeo au kumshika kiuno
Ndo maana inakuwa ngumu sana
Nilishaenda kwenye mafundisho ya ndoa wakati nasimamia harusi fulani ya rafiki yangu Mchungaji aliyekuwa anatoa mafunzo alituambia haya haya kuwa ukishaoa bana ni wako mpige busu popote na mshike kiuno popote pale na hata mkwa kanisani ukiwa umekaa nae au mkiwa ndo mmeingia kanisani kabla ya kukaa mpige busu ila mhhh nikasema haya wanasema tuu kwa uoga wetu na ile dhana kuwa mapenzi ni ya siri hakuna anayeweza kufanya hivyo na ukiingia kanisani umemshika mkeo kiuno nafikiri kanisa zima linaweza kugeuka kukuangalia
ingekuwa mwandiko mzuri ndio akili basi wengine tungekuwa hatushkiki sasaAna mwandiko mzuriii...which means hata upstairs yupo njema...kweli hips don't lie
una maanisha na wewe mama salma ndo role mode wako?NGOJA NA MI NIMUANDIKIE MAMA SALMA!
mwalimu mwenzangu mjue oh!
umenena na kushindana mavazi kwenye partylaiti kama wanamuziki wa bongo wangekuwa smart hivi.alas wao wanajua kuchukuliana mabwana tuu
ingekuwa mwandiko mzuri ndio akili basi wengine tungekuwa hatushkiki sasa
Mwandiko mzuri. Lazima ajipe promo apate free pass za nyumba nyeupe.
Alichosema Beyonce kipo sawa sana. Kwa namna nyingine Beyonce naye ni mfano wa wasanii walijaribu kuweka mfano wa kuigwa duniani,wamefanikiwa sana kama familia ya mfano hata medani ya music wanakimbiza mbaya yeye na mume wake Jay Z
Hey, hey, hey....I'm neither a Republican nor a Democrat.
I'm neither strictly conservative nor strictly liberal in my views.
I'm fiscally conservative, socially responsible, and personally accountable type of fella.
So what am I? Perhaps betwixt and between.
embu niambie sababu basi labda nimekuelewa vibayanadhani hujui kwa nini niliandika hivyo...
Ha ha ha!! Mkuu Kaizer acha uchokozi!!! King Mswati ashike yupi aache yupi!!! Hata pete ya ndoa havai maana hajui avae ya nani!!!! Obama anayo!!!!I love that family. Urais pembeni
Alivyokuja hapa alikuwa anakamata mauono ya mkewe wazi wasi, nikajiuliza mbona Ankal wetu hafanyi ivo ivo?