Beyonce writes a letter thanking Michelle Obama for being a role model

Beyonce writes a letter thanking Michelle Obama for being a role model

Hizo kazi za u-fest ledi si ndio sosho weki, ukija huku uswazi ndio kama kuhudhuria misiba kwa majirani and the like.
Ukiwa fest ledi sosho weki zinaongezeka tu maana nchi nzima wanakuwa majirani zako.

mmmmh.. Kongosho apo napata wasi wasi kama kweli 'ni maam wanyumbani tu' nadhani ana maissue kibao ya kikazi ya kifrst lady anatakiwa atimize......ma functions, meetings, nk...yuko busy mbaya

Ngoja wataalam waje hapa wa mambo ya marekani kina Nyani Ngabu ivi, japo najua ni mrepublican huyu, na wengineo
 
Lakini HorsePower si ukishamuoa unaruhusiwa kufanya lolote lile linaloruhusiwa mbele za watu kama kumshika kiuno, kumbusu na kumkumbatia na mengine kama hayo wanaogopa nini au tatizo ni zile nyumba ndogo zitaona wivu na kuleta kasheshe

Lol, sijui ni woga au utamaduni au mazoea au aibu? Ngoja nitafakari, nitarudi!
 
Lol, sijui ni woga au utamaduni au mazoea au aibu? Ngoja nitafakari, nitarudi!
HorsePower nafikiri zaidi ni uoga na ule utamaduni wa kujifichaficha kuwa mapenzi yenu myaonyeshe chumbani sio mbele za watu unambusu mkeo au kumshika kiuno
Ndo maana inakuwa ngumu sana
Nilishaenda kwenye mafundisho ya ndoa wakati nasimamia harusi fulani ya rafiki yangu Mchungaji aliyekuwa anatoa mafunzo alituambia haya haya kuwa ukishaoa bana ni wako mpige busu popote na mshike kiuno popote pale na hata mkwa kanisani ukiwa umekaa nae au mkiwa ndo mmeingia kanisani kabla ya kukaa mpige busu ila mhhh nikasema haya wanasema tuu kwa uoga wetu na ile dhana kuwa mapenzi ni ya siri hakuna anayeweza kufanya hivyo na ukiingia kanisani umemshika mkeo kiuno nafikiri kanisa zima linaweza kugeuka kukuangalia
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi, baadhi wanaangalia mwandiko, lakini barua hii imebeba ujumbe mzito kuliko mwandiko wenyewe! Nilivyoisoma hiyo barua, Beyonce anamsifu Michelle kuwa pamoja na ukweli kwamba yeye ni first lady, lakini bado amebaki kama mama mwenye mapenzi ya dhati na anajinyenyekeza ndani ya familia bila kujali wadhifa alionao. Anaihudumia familia yake kana kwamba ni mke mwenye wadhifa wa kawaida. Ni funzo kwa viongozi wengine wenye nyadhifa kama hizo au zinazofanana na hizo!

Si jambo rahisi kwa viongozi wengi wa kike wa cheo chake ambao wamewahi kushuka na kutunza familia zao kwa kiwango alichokionyesha huyu mama. Nafikiri pia kwa muonekano hata mumewe ni mfano mzuri wa kumjali mkewe na ndiyo maana muda mwingi wanapotembea huonyesha mapenzi ya namna fulani. Kwa nje wanaonyesha ni mfano mzuri wa ndoa zenye furaha za kuigwa.

Nawatakia kheri wanandoa hao!

Hapa copy kwa: Kongosho, Nivea, charminglady, Mr Rocky, Eiyer, snowhite, SnowBall, neggirl
HorsePower asante kwa kuniita bro. To be honest huyu mama namkubali sana. She is so blessed kwa kweli .., sio yeye tu hata familia yake kwa ujumla. Yani wanavutia, na mwonekano wao kwa nje hauko fake wanaonyesha kweli wako na furaha na wanapendana, yeye na mume wake hata na watoto pia.

Ni mzuri naturally, kabahatika kuwa fisrt lady tena katika taifa kubwa but ukifuatilia ishu zake bado ni mtu asiyejikweza kutokana na nafasi yake. Ninafikiri furaha yao inachangiwa na walikotoka, wametoka mbali sanaa na wanaonyesha kupendana kwa dhati. Mungu aendelee kuwabariki.

Nawapendajeee..
 
Last edited by a moderator:
HorsePower nafikiri zaidi ni uoga na ule utamaduni wa kujifichaficha kuwa mapenzi yenu myaonyeshe chumbani sio mbele za watu unambusu mkeo au kumshika kiuno
Ndo maana inakuwa ngumu sana
Nilishaenda kwenye mafundisho ya ndoa wakati nasimamia harusi fulani ya rafiki yangu Mchungaji aliyekuwa anatoa mafunzo alituambia haya haya kuwa ukishaoa bana ni wako mpige busu popote na mshike kiuno popote pale na hata mkwa kanisani ukiwa umekaa nae au mkiwa ndo mmeingia kanisani kabla ya kukaa mpige busu ila mhhh nikasema haya wanasema tuu kwa uoga wetu na ile dhana kuwa mapenzi ni ya siri hakuna anayeweza kufanya hivyo na ukiingia kanisani umemshika mkeo kiuno nafikiri kanisa zima linaweza kugeuka kukuangalia


nakubaliana nawe Mr Rocky mabusu ya hivi yana mashiko sana hasa kwa wanandoa as unaonyesha kuwa uko comfortable na mwenzio lakini pia unajisikia kupendwa zaidi lolz.

Yani wewe kupata busu hadi kichochoroni,kwenye chumba cha giza, harusini Mc kalazimisha watu wakiss... aaaaa wapi... sio kabisaaaa!!
 
Last edited by a moderator:
Asante Kongosho kwa pointi yako..nimeipenda kwa sababu umejitahidi kuonyesha mwanamke alivyozungukwa a multiple roles hivyo wakati mwingine kuwa vigumu kubalance kote. Mwanamke anahitaji sana support ya mume wake ili kuweza kuyamudu majukumu yake.
 
Last edited by a moderator:
Mhm ukistaajabu ya musa utaona ya filauni hii ni kweli jamani?
beyonce-obamaconcert-read.jpg


Beyonce-MIchelle-Obama.jpg
 
Caring ya mbele ya kamera, napenda sana maisha ya Hollwood... Mazafaka!
 
Alichosema Beyonce kipo sawa sana. Kwa namna nyingine Beyonce naye ni mfano wa wasanii walijaribu kuweka mfano wa kuigwa duniani,wamefanikiwa sana kama familia ya mfano hata medani ya music wanakimbiza mbaya yeye na mume wake Jay Z
 
You're a true American Ooops!!! True Tanzanian 🙂🙂

Hey, hey, hey....I'm neither a Republican nor a Democrat.

I'm neither strictly conservative nor strictly liberal in my views.

I'm fiscally conservative, socially responsible, and personally accountable type of fella.

So what am I? Perhaps betwixt and between.
 
I love that family. Urais pembeni

Alivyokuja hapa alikuwa anakamata mauono ya mkewe wazi wasi, nikajiuliza mbona Ankal wetu hafanyi ivo ivo?
Ha ha ha!! Mkuu Kaizer acha uchokozi!!! King Mswati ashike yupi aache yupi!!! Hata pete ya ndoa havai maana hajui avae ya nani!!!! Obama anayo!!!!
 
Back
Top Bottom