Beyonce's sister(Solange) attacks Jay Z in the elevator

Beyonce's sister(Solange) attacks Jay Z in the elevator

Solange?

Inakuwaje mwanaume anapigwa na mwanamke? Au walikuwa wanacheza?

They cant be serious

Marekani ukimpiga mwanamke you're in deep trouble hata kama yeye ndiye mchokozi. Kuna jamaa yangu Mbongo alikuwa akiishi Houston,TX na mwanamke mweusi wa kimarekani, siku moja yule mwanamke alimletea za kuleta jamaa hasira za Kikurya zikampanda akampa nakos za kutosha. Demu akapiga simu polisi jamaa akaja kubebwa msobe msobe. Kwenda mahakamani jamaa akala mvua mbili na baada ya kumaliza kifungo akarudishwa na FBI mpaka JKIA.

Jay sio kwamba alishindwa kumpiga Solange, he would've had a lot to lose kama ange-retaliate. Aliamua kuuchuna ili asije kupata kilichompata Chris Brown. Kitu cha ajabu ni reaction ya Bey, she was suppose to put her sister in check. Or did Jay say or do something to annoy Bey and her sister decided to attack him?
 
I wish to know what was going on between them . Maana yale mateke yaliyorushwa sio mchezo

Kuna wakat jiggaa alitaka kujificha mgongoni mwa beyonce...

Ila nimependa pale solange aliporusha teke .......
Halaf jay.z akalidaka tayari kurusha ngumi amharibu solange meno ya sebuleni

Ila nahisi picha ya jins chris brown anavyotaabika na rehab , mahakamn, selo na kuitumikia jammii ilimwijia kwa ghafla akarudisha ngumi.
 
Marekani ukimpiga mwanamke you're in deep trouble hata kama yeye ndiye mchokozi. Kuna jamaa yangu Mbongo alikuwa akiishi Houston,TX na mwanamke mweusi wa kimarekani, siku moja yule mwanamke alimletea za kuleta jamaa hasira za Kikurya zikampanda akampa nakos za kutosha. Demu akapiga simu polisi jamaa akaja kubebwa msobe msobe. Kwenda mahakamani jamaa akala mvua mbili na baada ya kumaliza kifungo akarudishwa na FBI mpaka JKIA.

Jay sio kwamba alishindwa kumpiga Solange, he would've had a lot to lose kama ange-retaliate. Aliamua kuuchuna ili asije kupata kilichompata Chris Brown. Kitu cha ajabu ni reaction ya Bey, she was suppose to put her sister in check. Or did Jay say or do something to annoy Bey and her sister decided to attack him?

Ni ukweli mkuu nchi za wenzetu ukimgusa mwanamke utajuta hata Japan ni hivyo hivyo na wanawake wanajua jinsi ya ku humiliate wanaume jigga ni smart sana kumpotezea, niliwahi kuona clip mmoja ya concert dada wa kimarekani alimuita Busta rhymes ignorant wakati mchizi alikuwa anaenda toilet kujisaidia Kama watu wengine na wala hakuwa na time kabisa na huyo dada. Mchizi alichukia sana ila alimuambia Asante, Marekani ukiwa na kisu kuna watu huwa wanataka kuku provoke tu baadae uwalipe fidia.
 
Unakuta hata Chris brown anasota jela kwasababu kuna mtu alimprovoke akaamua wamchape na bodyguard wake.
 
Tazama hapa:http://m.tmz.com/#Videos

Mitandao ya kijamii imewaka moto kufuatia kanda ya video iliyozuka ikionyesha dadake mwanamuziki wa kimataifa Beyonce Knowles , Solange Knowles akimchapa makonde mwanamuziki Jay-Z ambaye pia ni shemeji yake katika lifti.
Wakuu wa hoteli ambako kisa hicho kinadaiwa kutokea mjini New York, 'The Standard Hotel' wamesema kuwa wanachunguza ambavyo kanda ya kisa kilichotokea ndani ya Lifti iliweza kusambazwa baada ya kanda hiyo ya video kuzuka katika mtandao mmoja wa udaku TMZ.

Hata hivyo kanda hiyo haikuwa na sauti bali ilionyesha tu kitendo cha dadake Beyonce akimpacha Jay-Z na hata kujaribu kumpiga teke mara mbili wakiwa ndani ya lifti hiyo pamoja na Beyonce na mlinzi mmoja wa Jay-Z aliyejaribu kumzuia Solange.
Kanda hiyo ilizuka baada ya Beyonce aliyekuwa ameambatana na Jay Z ambaye ni mumewe wa miaka sita pamoja na Solange kuhudhuria tamasha la kifahari mjini New York tarehe tano Mei.

Mlinzi wa Jay-Z anaonekana katika kanda hiyo akijaribu kumzuia Solange mwenye umri wa miaka 27 aliyeonekana kuwa na hasira mno kutomchapa Jay-Z amwenye umri wa miaka 44 akiwa amesimama kando ya mkewe wa miaka sita Beyonce.
Kwa mujibu wa shirika la habari la AFP, taarifa kutoka kwa maafisa wa hoteli ambamo kisanga hicho kilitokea walielezea kukasirishwa na mtu ambaye aliisambaza kanda hiyo kwenye internet na hata kutishia kumchukulia hatua pindi atakapojulikana.
"tumeshtushwa sana na kukasirishwa na mtu aliyekiuka sheria zetu za faragha ambazo wageni wetu wanathamini sana, '' ilisema taarifa kutoka kwa wakuu wa hoteli hiyo.
"tunachunguza hali hiyo na pia yeyote atakayepatikana na hatia ataadhibiwa vikali.''
Wasimamizi wa Beyonce walikataa kuzungumzia kisa hicho.

Source BBC
 
Na watu wala hawawezi kum-condemn ila angekuwa Jay Z kafanya the other way round. Zingeimbwa pambio dunia nzima.
 
First Off....if all possible never hit a lady...

Jay played it cool na hii ni nzuri kwa image yake...mwisho wa siku Solange ataonekana ni mwehu na ninavyoijua America she will go all the way down kwa hii ishu hata kama atakuja kuomba msamaha(japo sina hakika coz anaonekana ni mtu mwenye kiburi) badae bado haitasaidia inawezekana akaiua 'karia' yake kabisa.

Alafu B nae anacheki tu!,hata kumsaidia mume wake?!....and Jay he was like why are you standing there and watch this pyscho beat me?!...do somethin' for lucifer's sake!!lol

#BringBackOurSisters
 
"On The Run Tour" itakuwaje sasa au ndo kupeana kick kimtindo huo?!
 
that bit*h is retarded,if i were jigga i would smack her with a d**k..
 
and bey didn't move a muscle to defend her hubby!blood is thicker than water gadem...the marriage is hangin on the balance...
 
article-2626389-1D9D194200000578-944_634x806.jpg

jay is staring like he's seen a ghost!!!!!!!chezea kichapo wewe.
 
Dah ila hivyo tena aisee yaaani.
Hata mimi kiukweli nachuna tu wanawake nao tatixo ukiwagusa kazi kwako
 
That bitch is a psycho.

Ain't no THOT gonna put her paws on me like that without swinging back.

What kinda chickenshit is that? Had Jigga retaliated he'd been the one in the wrong even though he didn't start it. Funk that.

And what's up with Bey just standing there letting her little sister go psycho bitch on her husband like that without even making an attempt to restrain her?

Who does that?

solange aliandika Kwenye tweeter account yake akafuta " aliandika jay z ana mpogaga beyonce". Beyonce alitakiwa amtetee Mumewe na waliondoka hotel na Gari mbili tofauti.beyonce na solange Gari lao na jay z peke yake.Some is wrong here
 
Last edited by a moderator:
Kuna discussion kubwa sana inaendelea kuhusu black women..wanaonekana ni watu wenye hasira sana na wanaume wengi weusi wanawakimbia hapa marekani..i even my self run into one at homedepot it was strange hayo matusi nliyoambulia..wanasingizia malezi ya single mom na kukosa fathery figure but inazidi sasa..
Black America so bitter I don't know why ?hata Michelle Obama nae wanasema ana wivu wa ajabu
 
Kuna discussion kubwa sana inaendelea kuhusu black women..wanaonekana ni watu wenye hasira sana na wanaume wengi weusi wanawakimbia hapa marekani..i even my self run into one at homedepot it was strange hayo matusi nliyoambulia..wanasingizia malezi ya single mom na kukosa fathery figure but inazidi sasa..
Wana drama uwiiiii.hawana class at all kitu kidogo tu Dah kinaweza kikawa balaaa
 
could u plse fix the colour...n sound ?............
 
Back
Top Bottom